Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

natamani siku moja wapiganaji waliopo hapo NMC waende home kwetu Kibondo;coz kule mbunge ni wa NCCR bt wafuasi wengi ni wa CDM na ccm,viongozi wekeni kambi kibondo na Kigoma kw ujumla wake:A S cry:
 
Wana Arumeru Mashariki, mlitahadharishwa sana wakati wa kampeni za ubunge kwamba msimchague huyu dogo mhuni, hana busara hata kidogo. Haya sasa, mmeona umwagaji damu aliousababisha muda mfupi baada ya kuchaguliwa kwa kuhimiza uporoji wa mashamba ya wawekezaji na uvamizi wa mashamba ya watu wengine kwa ujumla.

Leo pia mmeyaona huko viwanja vya NMC, amekuja na pepo la kuigawa nchi.....ASHINDWE ALEGEE KABISA.
 
kweli wakuu nimewasoma CDM iko juu inatisha ile mbaya. tuko pamoja na huu ni mwanzo mzuri wa kukomboa nchi
 
Pipoz kiboko, 2015 atakayetuchakachua tz itakuwa kama kenya 2007.
 
Mbowe is a Leader. Kitendo cha ku-refute kauli ya dogojanja hadharani and on-spot ameonesha mfano wa kuigwa si kwa CDM tu hata CCM. Kama mtu anatoka nje ya mstari anarudihwa hapohapo. Angechunia kauli ile ingeonekana ni agenda ya CDM. Hapa ndipo ninapomuona Mbowe ni kiongozi na hata CCM na JK watakubaliana na mimi. Siyo kumwacha mtu kama Lusinde anatukana halafua unamtetea kama alivyofanya Mukama.

Mbowe kamkosoa dogojanja very diplomatically bila ya kumfanya ajisikie amekwazika.

Hivyo ndivyo kiongozi aatakiwa kuwa!! Bravo Mbowe!!
 
Wana Arumeru Mashariki, mlitahadharishwa sana wakati wa kampeni za ubunge kwamba msimchague huyu dogo mhuni, hana busara hata kidogo. Haya sasa, mmeona umwagaji damu aliousababisha muda mfupi baada ya kuchaguliwa kwa kuhimiza uporoji wa mashamba ya wawekezaji na uvamizi wa mashamba ya watu wengine kwa ujumla.

Leo pia mmeyaona huko viwanja vya NMC, amekuja na pepo la kuigawa nchi.....ASHINDWE ALEGEE KABISA.

Yoooote hujayaona, isipokuwa hili tu, mbona limetolewa ufafanuzi kidiplomasia. Tulia tukunyoe
 
ngoromiko unaogopa watu wakijitenga, watu wenye akili timamu tukakaa sehemu yetu na nyhe ccm mkakaa sehemu yenu muendeleze rubbish zenu
 
Wadau,

Katika hali ya kushangaza, ama kuchanganyikiwa mwanachama maarufu wa CDM a.k.a "Dogo janja"

Ametamka hadharani katika viwanja vya nmc kuwa kama CCM ikiboa wataigawanya nchi kama Sudan.

Wakuu sijajua sababu ya kutoa maneno haya na nina wasiwasi sana na agenda hizi za siri, ukiunganisha na post ya

pasco ya ukaskazini ambayo sikuweza kuijibu kwa kuwa nilikuwa kifungoni naona kuna siri nzito imefichika.

Nawakilisha
 
Alisema CCM ikileta uhuni tutajigawa kama sudan ilivyo,ila mbowe kaikanusha pale pale

Duh! Naona alisema bila kufikiri, inafaa awe na busara next time na kama inawezekana atoe hata statement ya kuomba radhi. Mbowe kafanya vyema, hakuna kurudi nyuma.
Viva CHADEMA!
 
Thread ya Pasco ilisemaje?
Huyo kama ni mwanachama tu anaweza kusema lolote. Huyo siyo kiongozi kama Mtei na wengine.
 
Wanafiki wanaumbuka kweupeeeee!

Wananchi amkeni, CDM sio chama.

Asante bwana Jackson
 
Ama kweli.
.
"CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
 
Back
Top Bottom