Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Haya sasa viwavi wameishaifungulia uzi kauli ya NASRY. Magazeti ya magamba kama Jambo leo na Uhuru yana make story coverage kesho.
 
Duh! Naona alisema bila kufikiri, inafaa awe na busara next time na kama inawezekana atoe hata statement ya kuomba radhi. Mbowe kafanya vyema, hakuna kurudi nyuma.
Viva CHADEMA!
Aliteleza kidogo si unajua hasira,ila Mbowe amelipinga kwa ukali pale pale
 
Naona panya mmeanza kutafuna nukushi iliyotoka kwa mwanachama kijana anayechemka kama moto wa gas!!

Spin masters wa magamba siku hizi mmefulia sana!!

Poleni!!
 
Chadema kwa nini mnajikita Kaskazini tu. kila mwezi lazima mfanye mkutano Arusha.

Jiografia ya Tanzani ni kubwa mno kila siku mpo Arusha tu hamuwezi kuchukuwa nchi kwa kuitegemea Arusha peke yake kuna maeneo mengi watu hawaijui Chadema kama haya.

Namtumbo.
Mbinga.
Tunduru.
Rufiji.
Mafia.
Mkuranga.
Bagamoyo.
Mvomero.
Gairo.
Ulanga.
Urambo.
Sikonge.
Uyui.
Kibondo.
Same.
Kasulu.
Mwanga.
Nachingwea.

Sio mnakaa sehemu mmoja tu Arusha kila siku huu ni ushauri wangu kwenu ni hiyari yenu kuukataa au kuukubali.

Ritz.

JF Daima.

Ritz unatoa ushauri au na wewe umejivua gamba!
 
Ama kweli.
.
"CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".

Mkuu imenisikitisha sana hii, kumbe jamaa wana agenda ya kugawa kanchi ketu? ndio maana wanang'ang'ania utawala wa

majimbo.

Siri imefichuka, siri imefichukaa .........
A%20S-devil1.gif
 
Mkuu imenisikitisha sana hii, kumbe jamaa wana agenda ya kugawa kanchi ketu? ndio maana wanang'ang'ania utawala wa

majimbo.

, siri imefichukaa .........:shetani:


Unawezaje kuwa na posts 600 kwa uanachama wako wa juzi ? Inatia mashaka sana hakika kwa mwendo huu wa uandishi wako

Siri imefichuka
 
vua gamba vaa gwanda! falsafa nzuri sana ina faa kwa watanzania wote
 
Huu mpango wa kuimega Kaskazini ni ajenda ya cdm tangu kimeanzishwa,na sasa ndio wameshika kasi.

Ni suala la kujiuliza,ivi kwa nini mikutano yao mikubwa inayoudhuriwa na viongozi wa kitaifa inafanyikia Arusha na Moshi pekee!!??
 
alichokuwa anajaribu kuelezea Nasary ni namna CDM inavyonyakua majimbo. Ona mwenyewe Mwanza, Mara, Karatu, Arusha na Moshi inakaa imejitenga kama mwezi. Hivyo kuleta mantiki ya kaskazini kuwa ngome ya Chadema. Na msukumo wa maneno hayo ni kutokana na hila za CCM kutumia njia chafu hata kama ni kuchinja watu (kama walivyomchinja mwenyekiti Mmbwambo wa Usariver). Kwa hiyo ndipo inakuja hiyo dhana kwamba CCM kama hawataki fair play basi tukate kampaka ketu kanakoazia mwanza mpaka moshi! Lakini mwenyekiti Mbowe amesisitiza kwamba hiyo ni kauli ya nasari kama dogo janja na sio ya chama! poleni magamba kwa kukosa mtaji wa maneno!
 
Ebu tuambie Mbowe alijibuje,usiwe unakimbilia upande mmoja,unaonyesha udhaifu wako
 
Back
Top Bottom