Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Tafadhalini saana, mwenye kipande cha sauti ya DOGO JINGA kuhusiana na kuigawa Tz aiweke jamvini.
Natanguliza shukrani.

upumbavu ni mzingo angalia kwenye youtube uone ndugu zako wanavyo kesha wakihubili kuvunja muungano au fungulia redio immani usikilize wanavyopanga jinsi kuigawa nchi hii kidini ukishazipata uanzishe thread itakaukuwa inahusu wanaotaka kuigawa nchi tutachangia...
 
Kila siku Arusha tu Makamanda jaribuni kujitanua kitaifa zaidi kuliko kikanda.

Lini tutasikia Chadema wameweka kambi maeneo mengine kama.

Kilwa.
liwale.
Ruangwa.
Nachingwea.
Newala.
Nanyumbu.
Tandahimba.
Ngara.
Karagwe.
Muleba.
Kyerwa.

Ritz bwana, ni kwamba unachanganyikiwa hadi unashindwa kuandika au ni nini? Au kuna mji mpya umeanzishwa unaitwa Kyerwa au ulimaanisha KYELA????? Tulia kaka, hizi ni za rasha rasha tu, hadi 2015 tutakuwa tumefika hadi uvunguni kwa JK.
 
Hangaikeni na mawaziri wezi wa mali ya umma ili wapelekwe mahakamani, kuliko kusumbuka kutafuta sauti zisizo na faida kwa taifa.

kesho magazeti yote ya mafisadi heading itakuwa juu ya kauli ya nasari badala ya kuandika matatizo ya watanzania..
 
Ritz bwana, ni kwamba unachanganyikiwa hadi unashindwa kuandika au ni nini? Au kuna mji mpya umeanzishwa unaitwa Kyerwa au ulimaanisha KYELA????? Tulia kaka, hizi ni za rasha rasha tu, hadi 2015 tutakuwa tumefika hadi uvunguni kwa JK.

chezea Movement For Change...
 
STK ONE ni wasiwasi na uraia wako inawezekana wewe sio mtanzania kabisa ni mtu wa Burundi.

Kwa kukusaidia KYERWA ni Wilaya Mkoani Kagera..
 
Last edited by a moderator:
Hivi Bwagamoyo kuna ofisi za magwanda?
 
Sasa watamwita ''DOMO GANJA''

kama tunavyo mwita mwenyekiti wenu kichwa nazi yaani walimpigia kura kuwa raisi wanajuta sijawahi tangu ezi za nyerere eti raisi ana badilisha picha rasmi kisa anataka aonekane amevaa miwani..nchi inaliwa linachekacheka tu
 
kwa kweli makamanda tunaomba m chukue eneo au mikoa mingine,km Tanga,Rukwa,pwani,Lindi,Mtwara,Kigoma,Morogoro,Dodoma,na Singida.ili kuimalisha ngome kuu,kwetu Shinyanga moto ni mkali sana tunaendelea kuuwasha zaidi vijijini.
 
chezea Movement For Change...

Pro-Chadema bana kwa kufuata mkumbo sasa una-support kitu hata hujui.

Wewe kila siku mkutano Arusha huwezi kuijua KYERWA mwenzako eti kanisahihisha hakuna sehemu inayoitwa KYERWA.
 
Ritz bwana, ni kwamba unachanganyikiwa hadi unashindwa kuandika au ni nini? Au kuna mji mpya umeanzishwa unaitwa Kyerwa au ulimaanisha KYELA????? Tulia kaka, hizi ni za rasha rasha tu, hadi 2015 tutakuwa tumefika hadi uvunguni kwa JK.

Hapo umenena na umemwambia ukweli mtupu.
 
safi sana, taarifa hazijakamilika kabisa..watu kila sekunde tunaingia kucheki:baby:
 
Ritz bwana, ni kwamba unachanganyikiwa hadi unashindwa kuandika au ni nini? Au kuna mji mpya umeanzishwa unaitwa Kyerwa au ulimaanisha KYELA????? Tulia kaka, hizi ni za rasha rasha tu, hadi 2015 tutakuwa tumefika hadi uvunguni kwa JK.
Ndugu wa kutulia ni wewe, Kyerwa ipo ni jimbo la uchaguzi mkoani Kagera wilayani Karagwe, na pia ni moja wa wilaya mpya iliyomegwa kutokana kwenye wilaya ya Karagwe. Ukikurupuke fanya home work kwanza kabla ya kupost kitu
 
Kila siku Arusha tu Makamanda jaribuni kujitanua kitaifa zaidi kuliko kikanda.

Lini tutasikia Chadema wameweka kambi maeneo mengine kama.

Kilwa.
liwale.
Ruangwa.
Nachingwea.
Newala.
Nanyumbu.
Tandahimba.
Ngara.
Karagwe.
Muleba.
Kyerwa.

Ukabila at work!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kila mapinduzi yana mahali pa kuanzia ili kukusanya umati tutakuja tu huko vuta subira ni mbinu tu ya kushambulia
 
Ajenda inafahamika kuwa nia na makusudi ni kupata Raisi ambae anatoka Mikoa hii miwili Arusha ama Kilimanjaro sasa M4C waende Karagwe wakatafute nini? Nyinyi wengine mnatumika tu na ndiyo maana hapo kwenye base yao hawatoki wanafanyakila wawezalo na ni kila wakipata nafasi na pia wanafahamu kabisa kuwa sehemu nyingine ni ngome ya Chama Tawala hata wafanyaje hawatakubalika kamwe!

Nani kakuambia hawakubaliki Hemedi????? Sema Waswahili wenzangu tuko nyuma sana!!! Afu tunaendekeza udini wakati kimaisha tunapigika!!! Mimi Ustaadhi lakini nawakubali CDM asilimia 75%
 
mkuu imenisikitisha sana hii, kumbe jamaa wana agenda ya kugawa kanchi ketu? Ndio maana wanang'ang'ania utawala wa

majimbo.

Siri imefichuka, siri imefichukaa .........
a%20s-devil1.gif

huna jipya....unajikanyaga tu hapo,kafie mbele huko!!
 
Back
Top Bottom