Nyinyi fanyeni mchezo na hii Amani tu. Mtu akikosea lazima muwe wakweli, jiandaeni kumtetea mahakamani.
same,,mwanga,ndungu,,koogwe,,,handen,kiteto,,sinanjiro,pangan,mkinga,,,lushoto,,,muheza,ndanga,,nk,nkKila siku Arusha tu Makamanda jaribuni kujitanua kitaifa zaidi kuliko kikanda.
Lini tutasikia Chadema wameweka kambi maeneo mengine kama.
Kilwa.
liwale.
Ruangwa.
Nachingwea.
Newala.
Nanyumbu.
Tandahimba.
Ngara.
Karagwe.
Muleba.
Kyerwa.
Tatizo lipo wapi? Mbona hata Tenga nae ni rais
kama kweli haya ni maneno ya Mh. Nasari, basi yanatishia mustakabali wa taifa letu. Itakuwa ni vema kwake kuomba radhi na kufuta kauli yake hiyo. Mimi ni mpenda mabadiliko na ninaipenda Chadema kama chama, lakini masikio yangu hayafurahii kusikia habari zinazoashiria chuki miongoni mwa watanzania. Ni vema tukapingana pasipo kupigana.
Kwenye bold.Looh! Mwenyekiti wa chama anahoji huo utaratibu ambao upo TZ tokea enzi za Nyerere mpaka sasa. Ina maana haelewi au ni siasa tu?
Unaweza usiupende utaratibu fulani lakini kusema amevunja katiba ni tuhuma nzito sana hasa ikitolewa na kiongozi wa upinzani bungeni. Je kweli Mbowe amekaa na wanasheria wake kabla ya kuongea hili?
Wewe nimuongo nilikuepo NMC,sijui kama ulimsikiza vizuri kamanda Mbowe alicho kisema,alicho kisema yeye naku regebisha kauli za walio tanguli,nakuwataka waandishi waabari wachukue alicho kiongea ndio kauli ya chama,sasa wewe mnafiki wali wa mtu umetoka wapi?"ndugu wana Arusha kuanzia Leo natangaza Kuwa Tanzania kuna Jamhuri huru ya watu wa MERU. Mimi ndiyo Rais wa watu wa MERU na Lema ndiyo waziri mkuu. Tunamwambia kikwete Kuwa tuna andaa utaratibu wa kumpiga marufuku Kuja Arusha, tutaziba njia zote asije huku." Joshua Nassari , MB Arumeru Mashariki
Amani gani watu wanakufa kwa sababu hawana hela ya matibabu, hospitali hakuna dawa na huduma mbovu, watu hawawezi kula milo 3, hata huo 1 ni wa kubahatisha. Hiyo amani inyofanyiwa mchezo ni ipi? NASARI NI RAIS WA MERU UPANDE WA CHADEMA, KUNA KOSA GANI HAPO? anza mbele wewe, PEOPLEEEEEEEEEEEEEES!!!!!!!!!!Nyinyi fanyeni mchezo na hii Amani tu. Mtu akikosea lazima muwe wakweli, jiandaeni kumtetea mahakamani.
Acheni Ujinga, watu wanapora ma trilioni ya fedha hamuwajadili, Ndege ya Jeshi la Qatari inaingia anga ya Tanzania Bila kuonekana kwenye Rada za na inaondoka na twiga hamuoni, kati ya maneno ya Nassari na ile ndeg ya Jeshi la Qatari iliyo ingia tanzania ni kipi kinahatarisha amani ya nchi?
Nyinyi fanyeni mchezo na hii Amani tu. Mtu akikosea lazima muwe wakweli, jiandaeni kumtetea mahakamani.
..Nassari ni **** ndo kaingia mjengoni anajipeleka kwa jasusi lema,jimbo litamshinda,nawashauri chadema jengeni chama chenu achaneni na hao wanaotaka toka ccm kama wanataka waanzishe chama chao kingine watawaaribiaMimi ni mwana chadema lakini Leo nimekerwa sana na maneno ya Nassari, ndiyo maana Mbowe akasema Yale ni maneno ya Nassari na si chadema.
Je? mbona utakikueleza alichosema kamanda wa anga mhe mbowe kuhusu hilo,....kwa faida ya wana jf,amesema kwamba hilo si tamko la chama,hivyo acha:gossip: umbeya"ndugu wana Arusha kuanzia Leo natangaza Kuwa Tanzania kuna Jamhuri huru ya watu wa MERU. Mimi ndiyo Rais wa watu wa MERU na Lema ndiyo waziri mkuu. Tunamwambia kikwete Kuwa tuna andaa utaratibu wa kumpiga marufuku Kuja Arusha, tutaziba njia zote asije huku." Joshua Nassari , MB Arumeru Mashariki
Sugu Rais wa Mbeya, Nasari rais wa arumeru, Rema waziri mkuu wa arusha. je kosa liko wapi?.
Acheni Ujinga, watu wanapora ma trilioni ya fedha hamuwajadili, Ndege ya Jeshi la Qatari inaingia anga ya Tanzania Bila kuonekana kwenye Rada za na inaondoka na twiga hamuoni, kati ya maneno ya Nassari na ile ndeg ya Jeshi la Qatari iliyo ingia tanzania ni kipi kinahatarisha amani ya nchi?
Nyinyi fanyeni mchezo na hii Amani tu. Mtu akikosea lazima muwe wakweli, jiandaeni kumtetea mahakamani.