dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 24,859
- 56,851
... daraja lenyewe limetizamana na ofisi ya DC; sijui huko "uswekeni" kukoje!Tumenunua ndege ila tumesahau kujenga madaraja .poleni sana wafiwa.
... daraja lenyewe limetizamana na ofisi ya DC; sijui huko "uswekeni" kukoje!Tumenunua ndege ila tumesahau kujenga madaraja .poleni sana wafiwa.
... huo ndio unaitwa ujenzi chini ya viwango! Ulishawahi kufika Dar-es-Salaam? Kama bado, nenda pale maeneo ya Jangwani ukajionee kituko; daraja na yard ya magari makubwa iliyojengwa "baharini" kwa mabilioni ya shilingi! Huo ni mfano mmoja tu; imejaa kila mahali katika sekta ya ujenzi.Nimejiuliza hadi nakosa jibu hivi maji yanapita juu ya daraja su chini ya daraja?
Nijuavyo daraja linakuwa limejengewa maji yanapita chini na gari zinapita juu.
Sasa kama ndo hivyo ilikuwaje maji yakapita juu ya daraja gari zinapopita? Au daraja za dodoma zipo tofauti na daraja nyingine?
ila tairi ya low profile haieleiKuna askari Police mmoja alikuwa ni msaidiza wa IGP Mwema kama sijakosea, naye pia alizolewa na maji yeye pamoja na mkewe huko huko Dodoma akiwa anatokea Tarime kuja Dar miaka kama 4 iliyopita.
Maji yana nguvu sana sema watu wanayadharau.
Point yako ni muhimu sana hasa kwa madereva [emoji736]Madereva wengi tunapata leseni bila kupitia mafunzo sahihi..
Wakati nasoma NIT, nakumbuka niliambiwa usipite kwenye maji yanayotembea kabisa mpaka yaishe yasiguse tairi.. sababu tairi ni mpira uliojaa upepo,, yaani ni kama boya kwenye maji.. gari na uzito wake wote wa juu limebebwa na tairi ambalo ni boya kwenye maji.. sasa boya lazima lisombwe na maji tu, bila kujali uzito gani lilobeba,,, uoni hata binadamu kibonge akipewa boya anaelea tu bila kujali uzito wake,,
Hata gari liwe limebeba mzigo mzito kama copper ama kontena la mawe. Ila kwenye maji yanayotembea linasombwa na maji tu sababu matairi ni kama maboya
Aiseeee... huo ndio unaitwa ujenzi chini ya viwango! Ulishawahi kufika Dar-es-Salaam? Kama bado, nenda pale maeneo ya Jangwani ukajionee kituko; daraja na yard ya magari makubwa iliyojengwa "baharini" kwa mabilioni ya shilingi! Huo ni mfano mmoja tu; imejaa kila mahali katika sekta ya ujenzi.
Define FRICTIONNafikiri kuna kuwa hakuna friction Kati ya tairi na ardhi ya kwenye maji
Usipende kuamini kila utopolo. Maji ni ishara ya Roho Mtakatifu na moto ni udhihirisho wa nguvu za Mungu dhidi ya maadui zako. Narudia, usipende kuamini kila utopolo unaousikia.Kuna mzee mmoja aliniambia ukiota ndoto inayohusu maji au moto ni ujumbe kuhusu maisha yako. Maji na moto ndiyo vitu pekee Mwenyezi Mungu alivitumia kuiadhibu dunia. Moto kule Sodoma na maji enzi za Nuhu.
Choma cha Nkola ni wapi huko? Jitahidi unapoeleza kitu toa ufafanuzi unaoeleweka.Mimi kuna siku nilikua naelekea Choma cha Nkola nikakuta Manonga imefurika nikaweka gari pembeni wakatokea maafisa wa Mamlaka ya Pamba kwenye gari dogo wakiwa wamelewa wakashauriana na kudanganyana kuwa wavuke gari Lao likasombwa Kati yao watatu ni mmoja alikufa Maji wawili tuliowaokoa Kati ya hao tukawaokoa mmoja kumbe alikuwa amenng'atwa na Nyoka akiwa ndani ya Maji nae akafa
Chukua tahadhari kwenye mwendo yanayojulikana kuwa Flash floods au kwenye mito ya misimu
Siku yao ilifika tu. Ifikie kipindi tukubali kuwa duniani tunapita tu.Watu hawataki kujifunza kabisa
Punguza kiherehere binti.Kuna ukweli na uongo hapa. You sound so cleverly stupid.
Watu wengine watasema CORONA maana wanalao jambo.Kaimu mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa mifugo kanda ya kati, Dk Harun Chawala na mkewe, Neema Mwasanganga wamefariki baada ya gari walilokuwa wamepanda kusombwa na maji wakati wakivuka daraja la Shaaban Robert mjini Mpwapwa, Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa taasisi ya utafiti Tanzania, Dk Jonas Kizima amesema leo Jumamosi Machi 6, 2021 kuwa tukio hilo limewasikitisha kutokana na kupoteza nguvu kazi ya Taifa na taasisi ya utafiti Tanzania.
Amesema Dk Chawala alikuwa anampeleka mkewe kazini kwenye hospitali ya wilaya, lakini walipo fika kwenye daraja hilo maji yaliwazidi na kusombwa.
Dk Kizima amesema tukio hilo limetokea jana saa 2 usiku baada ta gari hilo aina ya Nissan lenye namba za usajili T483 BRR kusombwa na maji kwenye daraja hilo lililopo mita chache kutoka ilipo ofisi ya mkuu wa wilaya.
Kutoka gari ilipotumbukia hadi ilikokutwa miili ni umbali wa karibu kilomita 18 na ilikuwa katika maeneo tofauti.
Mashuhuda wanasema mwili wa mwanamke ulikutwa kitongoji cha Kwamshango kilomita 15 kutoka walipotumbukia wakati mwili wa Dk Chawala ulikutwa kitongoji cha Isinghu umbali wa kilomita 18.
Miili yote imepatikana imehifadhiwa katika hospitali ya Mpwapwa ikisubiri taratibu za ndugu na Serikali.
Chanzo: Mwananchi
Hata Nissan dizaini za passo zipo,eg. Nissan March.Halafu gari lenyewe ni Nissan gari la kuaminika, sijui ingekuwa Passo ingekuwaje
Wameacha watoto wadogo wa2, Mke alikuwa Dr pia na alikuwa anawahi shift ya usiku ,...very sad indeedMaskini ukute wameacha watoto daah so sad. Rest In Peace
Ndio maana huwa nawaambia ninyi Mataga huwa mnazidandia siasa kwa mbele wakati hata Nchi hamuijui vizuri wewe hata Mto Manonga huujui halafu ati ndio kada shupavu wa Chama cha wahutuChoma cha Nkola ni wapi huko? Jitahidi unapoeleza kitu toa ufafanuzi unaoeleweka.
Madereva wengi tunapata leseni bila kupitia mafunzo sahihi..
Wakati nasoma NIT, nakumbuka niliambiwa usipite kwenye maji yanayotembea kabisa mpaka yaishe yasiguse tairi.. sababu tairi ni mpira uliojaa upepo,, yaani ni kama boya kwenye maji.. gari na uzito wake wote wa juu limebebwa na tairi ambalo ni boya kwenye maji.. sasa boya lazima lisombwe na maji tu, bila kujali uzito gani lilobeba,,, uoni hata binadamu kibonge akipewa boya anaelea tu bila kujali uzito wake,,
Hata gari liwe limebeba mzigo mzito kama copper ama kontena la mawe. Ila kwenye maji yanayotembea linasombwa na maji tu sababu matairi ni kama maboya
Wameacha watoto wadogo wa2, Mke alikuwa Dr pia na alikuwa anawahi shift ya usiku ,...very sad indeed
Hatari sana ile sehemu inasikitisha mpk leo hatua za kujenga daraja badoMkuu lile drift la pale wanapaita "Kwa Matrafic" ni hatari mvua ikiwa kubwa,maji huwa yanaflow kutokea bwawa la Mkalama kwa kasi kubwa.