imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,437
Ilikuwa kwenye Daraja la Mto Manongailikuwa kwenye daraja?
Ilikuwa kwenye Daraja la Mto Manongailikuwa kwenye daraja?
u sure?
Basi haifai sehemu maji yanapopita kuruhusu magari yapite palepaleKuna wakati mwingine watu wanachanganya kuna tofauti kubwa kati ya bridge, pipe culvert, box culvert, drift n.k lakini watu wengi hua wanaita tuu daraja,
Ila kinachotokea dada angu kwamba kunakua na overflow yaan maji yanapita juu ya hiyo structure na yanakua mengi n speed kubwa,
Maeneo mengi katika nchi yetu ni drift ambazo zinaruhusu maji kupita juu yake sasa yakiwa mengi na speed kubwa shida inaanzia hapo
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Inawezekana pia mke alimwambia mumewe kuwa wasipite na mume akasema..naiamini hii gari tunapita tu hamna shida. Wanaume wengi wanajulikana kwa kung'ang'aniza ujasiri..Lazima wife wake ndiyo alimshinikiza wapite maana yeye alikua anawaza kuwai kazini tu! Wanaume Mambo ya hatari tuwakatalie hawa Wanawake, maana wengi wao hawajui kuipima hatari kwa mbali kama sisi Wanaume tunavyojua kizipima kwa mbali!!
Yeah, ulienda kuchukua Ng'ombe ama?Jamaa alikuwa poa sana,mwakajana march kunajamaa aliniunganisha nae alinipeleka na hy nissan had kwny Boma la ng'ombe wa mpwapwa breeds nadhani ni njia ya kuelekea jkt.
zote ni ajali mbaya hapo hakuna afadhali kitendo cha dakika kadhaa tuu mnakuta watu washapoteza maisha moto sio lazima uungue ukikosa hewa ya oxygen kukiwa na Moshi mwingi unaua haraka mno kama vile vifo vya wanaolala na mkaa ndani...Bora maji asee...moto? Hell no[emoji1751][emoji1751][emoji24]
Pole sana wafiwa.Dah so sad Hilo eneo s mara ya kwanza kusikia linaleta maafa tahadhar ichukuliwe
Nb Kuna nafas 1 idara ya mifugo na moja idara ya afya serikal itangaze nafas hiz vijana wapo tu mtaan kaz hakuna
NdiyoYeah, ulienda kuchukua Ng'ombe ama?
Ujanja zinazidianaHata Nissan dizaini za passo zipo,eg. Nissan March.
Sijaona walipoandika ilikua Nissan model ipi.
Tuonyeshe namna zinavyoziada ujanjaUjanja zinazidiana
Daraja zinasombwa kabisa na Maji unashangaa kupita juu ya daraja nduguNimejiuliza hadi nakosa jibu hivi maji yanapita juu ya daraja au chini ya daraja?
Nijuavyo daraja linakuwa limejengewa maji yanapita chini na gari zinapita juu.
Sasa kama ndo hivyo ilikuwaje maji yakapita juu ya daraja gari zinapopita? Au daraja za dodoma zipo tofauti na daraja nyingine?
Daah JF kama JF hiii elimu ni zaidi ya PhD barikiwa kiongozi [emoji120] [emoji120]Madereva wengi tunapata leseni bila kupitia mafunzo sahihi..
Wakati nasoma NIT, nakumbuka niliambiwa usipite kwenye maji yanayotembea kabisa mpaka yaishe yasiguse tairi.. sababu tairi ni mpira uliojaa upepo,, yaani ni kama boya kwenye maji.. gari na uzito wake wote wa juu limebebwa na tairi ambalo ni boya kwenye maji.. sasa boya lazima lisombwe na maji tu, bila kujali uzito gani lilobeba,,, uoni hata binadamu kibonge akipewa boya anaelea tu bila kujali uzito wake,,
Hata gari liwe limebeba mzigo mzito kama copper ama kontena la mawe. Ila kwenye maji yanayotembea linasombwa na maji tu sababu matairi ni kama maboya
Wazee wa zamani wana usemi kifo kikikuita unaweza kukuta mtu anapata hata ujasiri wa kuonja nyongo ya mamba...Inasikitisha sana. Ninachojiuliza ni kwanini watu hawajifunzi kwa vifo kama hivi, hlf kuna madereva wabishi sana atakwambia pale mimi napita.
Ila ndo hivyo kifo huja siku yoyote.
To me your the stupidest coz umeshindwa kuuweka uongo wake...Kuna ukweli na uongo hapa. You sound so cleverly stupid.
Na tochi za barabarani wamuachie nani??Traffic wa Tanzania wachukue huu ujumbe wawe wanatumia kutoa elimu.
Chawala alikua nanisan xtrial nyekundu.Hata Nissan dizaini za passo zipo,eg. Nissan March.
Sijaona walipoandika ilikua Nissan model ipi.