Mkurugenzi na mkewe wafa maji Mpwapwa

Mkurugenzi na mkewe wafa maji Mpwapwa

RIP Neema nitakukumbuka daima ulikua nguzo kwangu tangu una soma nursing pale lugalo ukiishi kawe... Rest in peace Chawala,ulikua ni shemeji kwangu nilie muanini sana,nafahamu misuko suko uliyopitia ktk maisha mpaka mpaka unafika apo,nakumbuka motisha wako juu ya maisha kua tusikate tamaa kamwe mpaka pumzi ya mwisho.

Umetuacha wadogo zako ktk mawazo sana.
 
Pole kwa kupoteza mpendwa wako Mkuu. Lkn pia pole kwa maneno ya shombo ya baadhi ya member wenzetu humu ndani.
 
Inawezekana pia mke alimwambia mumewe kuwa wasipite na mume akasema..naiamini hii gari tunapita tu hamna shida. Wanaume wengi wanajulikana kwa kung'ang'aniza ujasiri..
Mi wife wangu alisha nilazimisha kupita sehemu ambayo tunapita kila siku,lakini siku hiyo kulikua na mvua Kali,alafu na yeye anataka kuwai kazini,nikaingiza pua ya gari nikaona maji yanazidi kutusogelea, hapohapo nikapiga revasi kurudi nyuma huku wife yeye akitaka tuendelee kuvuka Maji,nikamkatalia na nikamtupia funguo avuke peke yake,nae akaogopa! Baada ya Maji kwisha tulikuta gari tatu mtaroni,sema hakuna aliyepata madhara! Wanawake saa zingine wanapenda kutujaza Ujinga,ila likitokea la kutokea bado tutalaumiwa sisi Wanaume!! Mimi Nyumbani kwangu hata Mbu au nyoka akikutwa ndani mwangu,wife anasema Mimi ndiyo nimeingia nao!![emoji3][emoji38][emoji38]
 
Wazee wa zamani wana usemi kifo kikikuita unaweza kukuta mtu anapata hata ujasiri wa kuonja nyongo ya mamba...
Kuna jamaa humu jf alikua anatafuta nyongo ya Mamba ailambe akisema ile sio sumu kama wanavyosema watu wa huko kigoma.
 
ajal haina kinga.ila ni kweli usivuke na gar kwenye maji yanaoenda kwa spidi kubwa labda ziwe zile jeep wrangler beast 4X4 niliona jamaa anapanda nayo kwenye korongo la mto

Bila shaka unamzungumzia huyu mwamba
 
Nimejiuliza hadi nakosa jibu hivi maji yanapita juu ya daraja au chini ya daraja?

Nijuavyo daraja linakuwa limejengewa maji yanapita chini na gari zinapita juu.

Sasa kama ndo hivyo ilikuwaje maji yakapita juu ya daraja gari zinapopita? Au daraja za dodoma zipo tofauti na daraja nyingine?
Maji hujaa muda mwingine kupelekea kupita juu ya daraja,siyo kwamba daraja limejengwa kupitisha maji juu yake.
 
What are the advantages of friction in everyday life?
To facilitate movement from one point to another , eg if there no friction btw surface things can not move coz they can't move on slippery surface , thus why tarmac road with snow may cause cars to struggle to move on ,,there are so many advantages
 
Dah so sad Hilo eneo s mara ya kwanza kusikia linaleta maafa tahadhar ichukuliwe

Nb Kuna nafas 1 idara ya mifugo na moja idara ya afya serikal itangaze nafas hiz vijana wapo tu mtaan kaz hakuna
uchawi upo na huu ni uchawi dhahiri shahiri ulikuwa unasubiri mkugurugenzi afe si ndio??
Kuna nafas 1 idara ya mifugo na moja idara ya afya serikal itangaze nafas hiz vijana wapo tu mtaan kaz hakuna
 
Mi wife wangu alisha nilazimisha kupita sehemu ambayo tunapita kila siku,lakini siku hiyo kulikua na mvua Kali,alafu na yeye anataka kuwai kazini,nikaingiza pua ya gari nikaona maji yanazidi kutusogelea, hapohapo nikapiga revasi kurudi nyuma huku wife yeye akitaka tuendelee kuvuka Maji,nikamkatalia na nikamtupia funguo avuke peke yake,nae akaogopa! Baada ya Maji kwisha tulikuta gari tatu mtaroni,sema hakuna aliyepata madhara! Wanawake saa zingine wanapenda kutujaza Ujinga,ila likitokea la kutokea bado tutalaumiwa sisi Wanaume!! Mimi Nyumbani kwangu hata Mbu au nyoka akikutwa ndani mwangu,wife anasema Mimi ndiyo nimeingia nao!![emoji3][emoji38][emoji38]
😂😂 hawezi kusema bure kuwa umeingia nao...lazima kuna source..
Anyways, inawezekana unalosema binafsi upande wangu..huyu mwenzangu naona ndio ana ujasiri ng'ang'anizi...
 
Mi wife wangu alisha nilazimisha kupita sehemu ambayo tunapita kila siku,lakini siku hiyo kulikua na mvua Kali,alafu na yeye anataka kuwai kazini,nikaingiza pua ya gari nikaona maji yanazidi kutusogelea, hapohapo nikapiga revasi kurudi nyuma huku wife yeye akitaka tuendelee kuvuka Maji,nikamkatalia na nikamtupia funguo avuke peke yake,nae akaogopa! Baada ya Maji kwisha tulikuta gari tatu mtaroni,sema hakuna aliyepata madhara! Wanawake saa zingine wanapenda kutujaza Ujinga,ila likitokea la kutokea bado tutalaumiwa sisi Wanaume!! Mimi Nyumbani kwangu hata Mbu au nyoka akikutwa ndani mwangu,wife anasema Mimi ndiyo nimeingia nao!![emoji3][emoji38][emoji38]
Wenzio wakiingia au kutoka ndani wanafunga mlango...wewe unaacha wazi kwanini usiambiwe wewe unaingiza mbu na nyoka...Mimi mwenyewe nachukia mtu akiacha mlango wazi
 
Madaraja TAKRIBANI YOOTE ya wilaya ya Mpwapwa mvua zikinyesha maji hupita juu kuanzia ng'ambi,chunyu,msagali,idilo nakadhali nakadhalika ni hatari kwakweli
 
Back
Top Bottom