samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
Yaani hapa JF ni balaa kuna wajuvi na wajuziKuna ukweli na uongo hapa. Your sound so cleverly stupid.

Kuna mzee mmoja aliniambia ukiota ndoto inayohusu maji au moto ni ujumbe kuhusu maisha yako. Maji na moto ndiyo vitu pekee Mwenyezi Mungu alivitumia kuiadhibu dunia. Moto kule Sodoma na maji enzi za Nuhu.Kuna askari Police mmoja alikuwa ni msaidiza wa IGP Mwema kama sijakosea, naye pia alizolewa na maji yeye pamoja na mkewe huko huko Dodoma akiwa anatokea Tarime kuja Dar miaka kama 4 iliyopita.
Maji yana nguvu sana sema watu wanayadharau.
Traffic wa Tanzania wachukue huu ujumbe wawe wanatumia kutoa elimu.madereva wengi tunapata leseni bila kupitia mafunzo sahihi..
wakati nasoma NIT, nakumbuka niliambiwa usipite kwenye maji yanayotembea kabisa mpaka yaishe yasiguse tairi.. sababu tairi ni mpira uliojaa upepo,, yaani ni kama boya kwenye maji.. gari na uzito wake wote wa juu limebebwa na tairi ambalo ni boya kwenye maji.. sasa boya lazima lisombwe na maji tu, bila kujali uzito gani lilobeba,,, uoni hata binadamu kibonge akipewa boya anaelea tu bila kujali uzito wake,,
hata gari liwe limebeba mzigo mzito kama copper ama kontena la mawe.. ila kwenye maji yanayotembea linasombwa na maji tu sababu matairi ni kama maboya
Poleni nduguKaimu mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa mifugo kanda ya kati, Dk Harun Chawala na mkewe, Neema Mwasanganga wamefariki baada ya gari walilokuwa wamepanda kusombwa NA maji wakati wakivuka daraja la Shaaban Robert mjini Mpwapwa, Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa taasisi ya utafiti Tanzania, Dk Jonas Kizima amesema leo Jumamosi Machi 6, 2021 kuwa tukio hilo limewasikitisha kutokana na kupoteza nguvu kazi ya Taifa na taasisi ya utafiti Tanzania.
Amesema Dk Chawala alikuwa anampeleka mkewe kazini kwenye hospitali ya wilaya, lakini walipo fika kwenye daraja hilo maji yaliwazidi na kusombwa.
Dk Kizima amesema tukio hilo limetokea jana saa 2 usiku baada ta gari hilo aina ya Nissan lenye namba za usajili T483 BRR kusombwa na maji kwenye daraja hilo lililopo mita chache kutoka ilipo ofisi ya mkuu wa wilaya.
Kutoka gari ilipotumbukia hadi ilikokutwa miili ni umbali wa karibu kilomita 18 na ilikuwa katika maeneo tofauti.
Mashuhuda wanasema mwili wa mwanamke ulikutwa kitongoji cha Kwamshango kilomita 15 kutoka walipotumbukia wakati mwili wa Dk Chawala ulikutwa kitongoji cha Isinghu umbali wa kilomita 18.
Miili yote imepatikana imehifadhiwa katika hospitali ya Mpwapwa ikisubiri taratibu za ndugu na Serikali.
Chanzo: Mwananchi
Mlongo wangu!!!Dah so sad Hilo eneo s mara ya kwanza kusikia linaleta maafa tahadhar ichukuliwe
Nb Kuna nafas 1 idara ya mifugo na moja idara ya afya serikal itangaze nafas hiz vijana wapo tu mtaan kaz hakuna
Acha uogaGari ikitaka kupita kwenye maji naomba kushuka jamani, nishusheniii
Kaka una roho ngumuDah so sad Hilo eneo s mara ya kwanza kusikia linaleta maafa tahadhar ichukuliwe
Nb Kuna nafas 1 idara ya mifugo na moja idara ya afya serikal itangaze nafas hiz vijana wapo tu mtaan kaz hakuna
Nafikiri kuna kuwa hakuna friction Kati ya tairi na ardhi ya kwenye majiKuna askari Police mmoja alikuwa ni msaidiza wa IGP Mwema kama sijakosea, naye pia alizolewa na maji yeye pamoja na mkewe huko huko Dodoma akiwa anatokea Tarime kuja Dar miaka kama 4 iliyopita.
Maji yana nguvu sana sema watu wanayadharau.
ProbablyNafikiri kuna kuwa hakuna friction Kati ya tairi na ardhi ya kwenye maji
Wamenunua madege wameshindwa kujenga madaraja...mitano tenaKaimu mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa mifugo kanda ya kati, Dk Harun Chawala na mkewe, Neema Mwasanganga wamefariki baada ya gari walilokuwa wamepanda kusombwa NA maji wakati wakivuka daraja la Shaaban Robert mjini Mpwapwa, Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa taasisi ya utafiti Tanzania, Dk Jonas Kizima amesema leo Jumamosi Machi 6, 2021 kuwa tukio hilo limewasikitisha kutokana na kupoteza nguvu kazi ya Taifa na taasisi ya utafiti Tanzania.
Amesema Dk Chawala alikuwa anampeleka mkewe kazini kwenye hospitali ya wilaya, lakini walipo fika kwenye daraja hilo maji yaliwazidi na kusombwa.
Dk Kizima amesema tukio hilo limetokea jana saa 2 usiku baada ta gari hilo aina ya Nissan lenye namba za usajili T483 BRR kusombwa na maji kwenye daraja hilo lililopo mita chache kutoka ilipo ofisi ya mkuu wa wilaya.
Kutoka gari ilipotumbukia hadi ilikokutwa miili ni umbali wa karibu kilomita 18 na ilikuwa katika maeneo tofauti.
Mashuhuda wanasema mwili wa mwanamke ulikutwa kitongoji cha Kwamshango kilomita 15 kutoka walipotumbukia wakati mwili wa Dk Chawala ulikutwa kitongoji cha Isinghu umbali wa kilomita 18.
Miili yote imepatikana imehifadhiwa katika hospitali ya Mpwapwa ikisubiri taratibu za ndugu na Serikali.
Chanzo: Mwananchi
Asante kwa maelezo ya kina,tujifunze kitu hapa,madereza wa mabasi wameua sana watu kwa kuamini basi limejaa kwahio ni 'zito' kumbe likikanyaga maji Hamna kitumadereva wengi tunapata leseni bila kupitia mafunzo sahihi..
wakati nasoma NIT, nakumbuka niliambiwa usipite kwenye maji yanayotembea kabisa mpaka yaishe yasiguse tairi.. sababu tairi ni mpira uliojaa upepo,, yaani ni kama boya kwenye maji.. gari na uzito wake wote wa juu limebebwa na tairi ambalo ni boya kwenye maji.. sasa boya lazima lisombwe na maji tu, bila kujali uzito gani lilobeba,,, uoni hata binadamu kibonge akipewa boya anaelea tu bila kujali uzito wake,,
hata gari liwe limebeba mzigo mzito kama copper ama kontena la mawe.. ila kwenye maji yanayotembea linasombwa na maji tu sababu matairi ni kama maboya
Kwa hyo nafas isitangazwe mkuu au ndio Yale pengo la marehemu halizibiki nafas ikae waz
Jovaa mlongo za magonoMlongo wangu!!!
Nitabaki na uoga wanguAcha uoga