Mkurugenzi na mkewe wafa maji Mpwapwa

Mkurugenzi na mkewe wafa maji Mpwapwa

Yaan hapo ambae hatakuelewa basi asitegemee kuja kumuelewa mtu yeyote maishani.

By the way,shukran kwa somo ulotupatia
Kumbe ukichukua jiwe la, let's say, one tone ukalifungia boya lenye relative volume, halizami siyo!???
 
Maji nayaogopa
Niliwahi sombwa na Noah nilipolazimisha pita, gari ikajizima, nikawasha ikakata moto, steering ikawa ngumu kinyama, kilichoniokoa ni vioo sikufunga.
Tokea hapo hata mvua ikinyesha nahisi harufu ya kifo kifo

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Kuna Uzi wa namna ulivonusurika kifo mkuu..
Utafte usimulie kidogo hii
 
R.I.P Kaimu.....na Pole sana Kaimu mwingine na Familia pia.
 
Wamenunua madege wameshindwa kujenga madaraja...mitano tena
Aisee! BAVICHA ni BAVICHA tu. Hivi majuzijuzi tu mmeimba weee na kusema madaraja hayana faida maana si maendeleo!??? Hivi nyie mna vichwa vya kampeni na vichwa vya kampani!??? Kwenye kampeni mna moja kichwani, halafu mkiwa kwenye kampani za maendeleo, mnasahau mlikuwa mmekopa!??? Nyie woooote pamoja na Mr Mzungu wenu aliyetimkia kusikojulikana Belgium ni bure na robo.
 
Kuna mzee mmoja aliniambia ukiota ndoto inayohusu maji au moto ni ujumbe kuhusu maisha yako. Maji na moto ndiyo vitu pekee Mwenyezi Mungu alivitumia kuiadhibu dunia. Moto kule Sodoma na maji enzi za Nuhu.
Ngoja siku akikuambia uviabudu ndipo utajua mwanadamu katu hawezi kuwa the sole source of knowledge and truth. And, you really believed him!??? You should have asked him maswali mawili matatu: How did he know!??? Why fire and water only!??? By the way, destructive agents za Mungu husharidi (ni beyond) fire and water. And, the fact is, the ready agents at His disposal ni countless --- almost anything, just name it!
 
I'll never be a stupid idiots in such way.
I am afraid this and similar statements usually proceed from such individuals. They are blind naive at best & irredeemable hypocrits at worst. Sorry for you!
 
Ubishi tu kama kawaida ya mwanadamu --- hasa nyie men. Isijekuta mkewe alimwambia mara mbili2 warudi, lakini sasa mnayo slogan ya kutoshindwa kitu. Haya ndiyo matokeo sasa. Kwa mwoga huenda kicheko; kwa shujaa huzuni. Hapa ndipo ile debate ya ^Money is better than education,^ inaaplai.
Anakwambia hii ni 4WD wewe haikwamii hii
 
Maji nayaogopa
Niliwahi sombwa na Noah nilipolazimisha pita, gari ikajizima, nikawasha ikakata moto, steering ikawa ngumu kinyama, kilichoniokoa ni vioo sikufunga.
Tokea hapo hata mvua ikinyesha nahisi harufu ya kifo kifo

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Pole. Maji yalikuwa mengi kiasi gani? I mean yalifikia gari sehemu gani kwenye tairi?
 
Pole yao sana wafiwa...

Daraja lipo kilometer chache kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya...
Inasikitisha sana...
 
Kumbe ukichukua jiwe la, let's say, one tone ukalifungia boya lenye relative volume, halizami siyo!???
Waache wajazane ujinga kiongozi. Ingekuwa maji kidogo tu yanazoa gari bila hata ya kujali vitu kama kasi yake madereva was ingekuwa wanajaribu kuvuka. Kuna maji yanavukika vizuri tu. Muhimu zingatia gari lako. Hivi kazi ya mikonga ni nini katika baadhi ya magari?
 
Pale NIT tulifundishwa mkonga ni kwa ajili ya kunywea maji, hasa Toyota tembo ikiwa na kiu
 
Wakati Wa uhai wao
FB_IMG_1615043716985.jpg
 
Kuna mzee mmoja aliniambia ukiota ndoto inayohusu maji au moto ni ujumbe kuhusu maisha yako. Maji na moto ndiyo vitu pekee Mwenyezi Mungu alivitumia kuiadhibu dunia. Moto kule Sodoma na maji enzi za Nuhu.
Mkuu inategemea,tusikalili ,ndoto zina ujumbe mahsusi,sio tu ukilala na kuota ndoto za maji au moto basi kuna kitu kibaya kitatokea,sikweli,Bali yakupasa kuitafakari ndoto husika.

Kuna wengine kuota ndoto za maji au moto unawaka ni neeema kubwa
 
Back
Top Bottom