Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,499
- 6,994
Kuna wakati mwingine watu wanachanganya kuna tofauti kubwa kati ya bridge, pipe culvert, box culvert, drift n.k lakini watu wengi hua wanaita tuu daraja,Nimejiuliza hadi nakosa jibu hivi maji yanapita juu ya daraja au chini ya daraja?
Nijuavyo daraja linakuwa limejengewa maji yanapita chini na gari zinapita juu.
Sasa kama ndo hivyo ilikuwaje maji yakapita juu ya daraja gari zinapopita? Au daraja za dodoma zipo tofauti na daraja nyingine?
Ila kinachotokea dada angu kwamba kunakua na overflow yaan maji yanapita juu ya hiyo structure na yanakua mengi n speed kubwa,
Maeneo mengi katika nchi yetu ni drift ambazo zinaruhusu maji kupita juu yake sasa yakiwa mengi na speed kubwa shida inaanzia hapo
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app