ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,851
What a loss! ripWakati Wa uhai waoView attachment 1718754
What a loss! ripWakati Wa uhai waoView attachment 1718754
Mkuu lile drift la pale wanapaita "Kwa Matrafic" ni hatari mvua ikiwa kubwa,maji huwa yanaflow kutokea bwawa la Mkalama kwa kasi kubwa.Jana dereva alitushusha pale Ntyuka aisee maji yanapita kwenye drift na speed kubwa sana akasema shukeni mvuke na miguu, tulivuka huku tumeshikana watu wanne wanne, ni hatari sana,
Pole kwa wafiwa
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Good. Na kuna ndoto zingine ukiota, ni tahadhari kwako kwamba utakuwa umekula sana, chakula kizito, tena muda ukiwa umeenda sana usiku.Mkuu inategemea,tusikalili ,ndoto zina ujumbe mahsusi,sio tu ukilala na kuota ndoto za maji au moto basi kuna kitu kibaya kitatokea,sikweli,Bali yakupasa kuitafakari ndoto husika.
Kuna wengine kuota ndoto za maji au moto unawaka ni neeema kubwa
Siku ikifika hata ukipigwa na mtoto mdogo waenda tu.Walikua hawalioni au?
Aisee. Basi magari yangeelea baharinimadereva wengi tunapata leseni bila kupitia mafunzo sahihi..
wakati nasoma NIT, nakumbuka niliambiwa usipite kwenye maji yanayotembea kabisa mpaka yaishe yasiguse tairi.. sababu tairi ni mpira uliojaa upepo,, yaani ni kama boya kwenye maji.. gari na uzito wake wote wa juu limebebwa na tairi ambalo ni boya kwenye maji.. sasa boya lazima lisombwe na maji tu, bila kujali uzito gani lilobeba,,, uoni hata binadamu kibonge akipewa boya anaelea tu bila kujali uzito wake,,
hata gari liwe limebeba mzigo mzito kama copper ama kontena la mawe.. ila kwenye maji yanayotembea linasombwa na maji tu sababu matairi ni kama maboya
Pole, na kuvuka mmeshikana wakati mwingine ni hatari pia kuna mzee alifikwa na umauti kwa njia hiyo maeneo ya mbezi Shamba hata mwili wake haukuonekana, alishikana na watu wengine watatu lkn yeye akaponyoka ikawa ndo kwaheri. Pia kuna Dogo alisombwa na maji kutoka mbezi Shamba, mwili wake uliokotwa Kawe baada ya siku mbili hivi. Ni vizuri kuwa makini sana na maji. Ni vizuri kusubiri maji yapite kwanzaJana dereva alitushusha pale Ntyuka aisee maji yanapita kwenye drift na speed kubwa sana akasema shukeni mvuke na miguu, tulivuka huku tumeshikana watu wanne wanne, ni hatari sana,
Pole kwa wafiwa
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Aisee. Basi magari yangeelea baharini
Umri wa dereva tafadhaliHalafu gari lenyewe ni Nissan gari la kuaminika, sijui ingekuwa Passo ingekuwaje
tayiri za gari zinakuwa na upepo na upepo hufanya kitu chochote kuelea.
Pole kwa wafiwa😪
Bado majank kbs.jaman Mungu awarehemu na pole kwa watotoWakati Wa uhai waoView attachment 1718754
D ilinitosha mkuu.Somo la physics ulifaulu?
R.I.P. Dr na Mkewe
Kifo kiliwaitaHivi inakuwa Ni haraka ya dereva au ubishi wake au huwa hawapiti hapa jf?
Bn mbuzi huna akiriAisee! BAVICHA ni BAVICHA tu. Hivi majuzijuzi tu mmeimba weee na kusema madaraja hayana faida maana si maendeleo!??? Hivi nyie mna vichwa vya kampeni na vichwa vya kampani!??? Kwenye kampeni mna moja kichwani, halafu mkiwa kwenye kampani za maendeleo, mnasahau mlikuwa mmekopa!??? Nyie woooote pamoja na Mr Mzungu wenu aliyetimkia kusikojulikana Belgium ni bure na robo.
YesBuoyance Law!
^akiri^ ndiyo nini sasa, kwa mfano!???We
Bn mbuzi huna akiri
Mkuu umetoa elimu nzuri sana!!Madereva wengi tunapata leseni bila kupitia mafunzo sahihi..
Wakati nasoma NIT, nakumbuka niliambiwa usipite kwenye maji yanayotembea kabisa mpaka yaishe yasiguse tairi.. sababu tairi ni mpira uliojaa upepo,, yaani ni kama boya kwenye maji.. gari na uzito wake wote wa juu limebebwa na tairi ambalo ni boya kwenye maji.. sasa boya lazima lisombwe na maji tu, bila kujali uzito gani lilobeba,,, uoni hata binadamu kibonge akipewa boya anaelea tu bila kujali uzito wake,,
Hata gari liwe limebeba mzigo mzito kama copper ama kontena la mawe. Ila kwenye maji yanayotembea linasombwa na maji tu sababu matairi ni kama maboya