Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,790
- 95,591
Inasikitisha sana. Ninachojiuliza ni kwanini watu hawajifunzi kwa vifo kama hivi, hlf kuna madereva wabishi sana atakwambia pale mimi napita.Jana dereva alitushusha pale Ntyuka aisee maji yanapita kwenye drift na speed kubwa sana akasema shukeni mvuke na miguu, tulivuka huku tumeshikana watu wanne wanne, ni hatari sana,
Pole kwa wafiwa
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Ila ndo hivyo kifo huja siku yoyote.