Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,284
kuna mafuriko Mkuu yanachapa Malori na Mabasi, mvua si lelemama hapo kwenye picha kuna jamaa anachungulia tu na 4x4 hasogei baada ya kuona Bus limechapwaBila shaka unamzungumzia huyu mwamba
kuna mafuriko Mkuu yanachapa Malori na Mabasi, mvua si lelemama hapo kwenye picha kuna jamaa anachungulia tu na 4x4 hasogei baada ya kuona Bus limechapwaBila shaka unamzungumzia huyu mwamba
Chawala alikua nanisan xtrial nyekundu.
Na kapokea like za kutosha kwa maelezo ya uongo.Watu mumeipokea hoja ya jamaa ya upepo wa mataili kueleza gari ndo sababu. Ukitoa upepo ndo unasombwa mapema kabisa kuliko hata ambae hajatoa
Hamna akili kweli bado mkavuka?Jana dereva alitushusha pale Ntyuka aisee maji yanapita kwenye drift na speed kubwa sana akasema shukeni mvuke na miguu, tulivuka huku tumeshikana watu wanne wanne, ni hatari sana,
Pole kwa wafiwa
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Watu mumeipokea hoja ya jamaa ya upepo wa mataili kueleza gari ndo sababu. Ukitoa upepo ndo unasombwa mapema kabisa kuliko hata ambae hajatoa
Hio Nissan ilikuwa nyekundu?View attachment 1719766
Maji si mchezo hiyo Nissan Xtrail nyekundu, imepigwa maji mpaka imebadilika naiona ni Nissan Patrol nyeupe au ya kijivu (huenda ni macho yangu wakuu)
RIP Mr & Mrs Chawala
Siyo kweli. Kinachofanya gari lisombwe ni kutokana na upana wa uso unaogongwa na maji. Utakapoutoa upepo gari linateremka. Inamaana kama maji yalikuwa yanalifika kwenye mwisho wa matairi yanaanza kulifika kwenye milango. Hapo unafanya uso wa kugongwa namaji uwe mkubwa. Ukumbuke magurudumu upepo yaliyonayo haufiki hats mita 500 za ukubwa Ila uliutoa gali unalizamisha zaidi ya mita 1000 za ukubwa katika maji. Hapo gari lako unakuwa umeanza kuliwahisha kuwa meli. Njia ya kulipitisha gari kwenye maji ni kulifanya gari liguswe sehemu ndogo na maji. Mfano gari linauzito wa tani mbili endapo litapandishwa zaidi kiasikwamba maji yakawa hayaligusi kabisa isipokuwa tu magurudumu bas kila gurudumu litakuwa limebeba kilo 500. Kwa mazingira hayo kama maji hayaligongi gari ila yanagonga taili basi hayatawezaihamisha kilo 500 kwa kugonga gurudumu tuNadhani ukitoa upepo gari haliwi boya tena kwa hiyo unapita bila ki kwazo manake unatembelea Rimu! Inaongeza friction force kati ya ardhi na gari na centre of gravity inashuka! Kuna gari unaweza tembelea rimu mita kadhaa achana na hizi rimu za Alluminum za udongo
Mi mwenyewe nimesoma mpaka nikachoka. Gurudumu upepo wake haufiki hata mita mia za ukubwa ndo ufanye gari lielee !!!Na kapokea like za kutosha kwa maelezo ya uongo.
Kila member kajisemea yake ndipo na mm nikaleta picha iliyoletwa ma Milled Ayo kila mtu ajiangalizie Rangi ya Gari na ni Nissan aina gani, wanasema ni nyekundu na ni XtrailHio Nissan ilikuwa nyekundu?
Tuamini tu ni Nissan ila rangi naona kama kijivu au nyeupe maana hatujui ukweliKila member kajisemea yake ndipo na mm nikaleta picha iliyoletwa ma Milled Ayo kila mtu ajiangalizie Rangi ya Gari na ni Nissan aina gani, wanasema ni nyekundu na ni Xtrail
wewe unaionaje?
Alikuwa anatembelea Nissan X trail ya rangi nyeupe mpauko.nyekundu labda ya wife wake huwezi jua!Kila member kajisemea yake ndipo na mm nikaleta picha iliyoletwa ma Milled Ayo kila mtu ajiangalizie Rangi ya Gari na ni Nissan aina gani, wanasema ni nyekundu na ni Xtrail
wewe unaionaje?
Ndiyo
Aisee jamaa alikuwa Yuko poa Sana hana makuu