Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,817
- 4,566
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Abdallah Shaibu, amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua za kinidhamu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa kushindwa kutoa ushirikiano wakati wa ukaguzi wa nyaraka za miradi waliyoihitaji huku akidaiwa kutoa lugha zisizo rafiki kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru