The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
We jamaa naona hamna unachoongea, Kagera kuna misitu mingi ambayo ni miti ya kupandwa na wala sio tatizo kupanda miti kwa sababu ndo kilio cha dunia nzima. Na hyo miti imepandwa sehemu ambazo mazao mengine yanakuja kwa shida
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha mkuu The Great Haya na instanbul naona mangi FisadiKuu kakujibu vyema ngoja niongezee nondo, ninyi kagera mna mvua nyingi lakin ni wavivu hamlimi mmeacha maeneo mapori ukiwa njiani unaona mapori mwanzo mwisho utadhan upo hifadhi ya mikumi,
2_kuhusu kahawa nyie hamtufikii hata kidogo ndio maana kiwanda kikajengwa kwetu na sii kwenu na nyie mkawa mnaleta kahawa yenu kwetu kuuza
3_kuhusu ndizi hivi unajua dar 90% ya ndizi zinatoka Moshi? matandamu hii ya wachaga saa 12 asubuhi unakuta yanaingia mabibo yakiwa Kama 200 HIV na ndizi nyie kagera ndizi sio nyingi Sana kwakuwa mmeacha mapori,uchagani n ndizi,migomba, parachichi na migeto katikati ya migomba
inatokana na ukaribu wa dar Kilimanjaro,pia Kilimanjaro tunailisha mombasa na Nairobi ndizi na maparachichi hasa ya rombo
4_huwez amini kagera hadi Leo Kuna vijii Hakuna umeme mfano Kijiji chá kabasharo,ruteme,kata ya kimwani (muleba) vijijin vya nsambya kata ya nyakabango(muleba) kata nzima ya ngenge umeme Hakuna hiyo ni muleba mpo nyuma mno hizo picha uliziweka ni makaz ya watu wachache tu Ila majorité wana makaz duni ndio maana mkoa wenu sio miongon mwa mikoa yenye makaz Safi,ripoti inasema dar ya kwanza, Kilimanjaro ya 2 kwa makaz bora manake mkoa wa Kilimandjaro makaz bora ni mengi kuliko duni wakati kagera is virse versa
Sent using Jamii Forums mobile app