Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

hahaha mkuu The Great Haya na instanbul naona mangi FisadiKuu kakujibu vyema ngoja niongezee nondo, ninyi kagera mna mvua nyingi lakin ni wavivu hamlimi mmeacha maeneo mapori ukiwa njiani unaona mapori mwanzo mwisho utadhan upo hifadhi ya mikumi,
2_kuhusu kahawa nyie hamtufikii hata kidogo ndio maana kiwanda kikajengwa kwetu na sii kwenu na nyie mkawa mnaleta kahawa yenu kwetu kuuza
3_kuhusu ndizi hivi unajua dar 90% ya ndizi zinatoka Moshi? matandamu hii ya wachaga saa 12 asubuhi unakuta yanaingia mabibo yakiwa Kama 200 HIV na ndizi nyie kagera ndizi sio nyingi Sana kwakuwa mmeacha mapori,uchagani n ndizi,migomba, parachichi na migeto katikati ya migomba
inatokana na ukaribu wa dar Kilimanjaro,pia Kilimanjaro tunailisha mombasa na Nairobi ndizi na maparachichi hasa ya rombo
4_huwez amini kagera hadi Leo Kuna vijii Hakuna umeme mfano Kijiji chá kabasharo,ruteme,kata ya kimwani (muleba) vijijin vya nsambya kata ya nyakabango(muleba) kata nzima ya ngenge umeme Hakuna hiyo ni muleba mpo nyuma mno hizo picha uliziweka ni makaz ya watu wachache tu Ila majorité wana makaz duni ndio maana mkoa wenu sio miongon mwa mikoa yenye makaz Safi,ripoti inasema dar ya kwanza, Kilimanjaro ya 2 kwa makaz bora manake mkoa wa Kilimandjaro makaz bora ni mengi kuliko duni wakati kagera is virse versa
 
wooden flag ni kweli kabisa hiyo muleba ni kubwa maeneo machache kama nshamba na kamachumu ndio angalau kwingine ni mapori na vichaka tu shule zingine unakuta za nyasi mfano kule ngenge ,shule nyingi za vijiji vya muleba unakuta ni vya nyasi na miti hovyo kabisa, Kilimanjaro sijawahi ona shule isiyo na Choi
kiswahili unakuta hawakijui wamekaa kishamba sana,ukienda karagwe na kyerwa ni hatari kule wanachapa kiganda tu kiswahili hawakijui alafu washamba hatari
 
Hiyo nyumba iko Uganda, nilishaiona mahali ndio maana nikawachallenge walete picha za chini za hiyo nyumba ili tuone plate namba za hayo magari wameingia mitini..

Ukiangalia kwa makini hizo gari zingekuwa ni Tz hapo mbele ya hayo magari lazima kuna unjano ungeonekana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki ambavyo haamini anachokiona mpaka anasema ni Uganda mpaka umefika huko .hata tukikuelezaje hutaelewa maana ni mbishi tu.kwa hiyo hiyo nyumba ipo Uganda ? Endelea kujifurahisha.vijiji vya bukoba ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha mkuu The Great Haya na instanbul naona mangi FisadiKuu kakujibu vyema ngoja niongezee nondo, ninyi kagera mna mvua nyingi lakin ni wavivu hamlimi mmeacha maeneo mapori ukiwa njiani unaona mapori mwanzo mwisho utadhan upo hifadhi ya mikumi,
2_kuhusu kahawa nyie hamtufikii hata kidogo ndio maana kiwanda kikajengwa kwetu na sii kwenu na nyie mkawa mnaleta kahawa yenu kwetu kuuza
3_kuhusu ndizi hivi unajua dar 90% ya ndizi zinatoka Moshi? matandamu hii ya wachaga saa 12 asubuhi unakuta yanaingia mabibo yakiwa Kama 200 HIV na ndizi nyie kagera ndizi sio nyingi Sana kwakuwa mmeacha mapori,uchagani n ndizi,migomba, parachichi na migeto katikati ya migomba
inatokana na ukaribu wa dar Kilimanjaro,pia Kilimanjaro tunailisha mombasa na Nairobi ndizi na maparachichi hasa ya rombo
4_huwez amini kagera hadi Leo Kuna vijii Hakuna umeme mfano Kijiji chá kabasharo,ruteme,kata ya kimwani (muleba) vijijin vya nsambya kata ya nyakabango(muleba) kata nzima ya ngenge umeme Hakuna hiyo ni muleba mpo nyuma mno hizo picha uliziweka ni makaz ya watu wachache tu Ila majorité wana makaz duni ndio maana mkoa wenu sio miongon mwa mikoa yenye makaz Safi,ripoti inasema dar ya kwanza, Kilimanjaro ya 2 kwa makaz bora manake mkoa wa Kilimandjaro makaz bora ni mengi kuliko duni wakati kagera is virse versa
wooden flag ni kweli kabisa hiyo muleba ni kubwa maeneo machache kama nshamba na kamachumu ndio angalau kwingine ni mapori na vichaka tu shule zingine unakuta za nyasi mfano kule ngenge ,shule nyingi za vijiji vya muleba unakuta ni vya nyasi na miti hovyo kabisa, Kilimanjaro sijawahi ona shule isiyo na Choi
kiswahili unakuta hawakijui wamekaa kishamba sana,ukienda karagwe na kyerwa ni hatari kule wanachapa kiganda tu kiswahili hawakijui alafu washamba hatari
Eti karagwe na kyerwa wanaongea kiganda ishia hapo hapo.kiwanda kikubwa cha kahawA kipo bukoba Tanica na bukop Nani asiyejua Tanica.eti ndizi.kuhusu vichaka nimeshakujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheki ambavyo haamini anachokiona mpaka anasema ni Uganda mpaka umefika huko .hata tukikuelezaje hutaelewa maana ni mbishi tu.kwa hiyo hiyo nyumba ipo Uganda ? Endelea kujifurahisha.vijiji vya bukoba ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawadanganye matahira.. I can bet any amount mlete ground photos..

Eti Melo na Ruge matajiri hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti karagwe na kyerwa wanaongea kiganda ishia hapo hapo.kiwanda kikubwa cha kahawA kipo bukoba Tanica na bukop Nani asiyejua Tanica.eti ndizi.kuhusu vichaka nimeshakujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndizi mnatufikia? ikiwa dar tunailisha kwa 90% ndizi zetu na Nairobi Mombasa viwanda vyao vya mafuta ya mgando 70% vinategemea maparachichi ya rombo imagine ka mkoa kadogo Kilimanjaro tunafanya Mambo makubwa haya je tungekuwa na limkoa Ka lenu c ndio tungekuwa Kama USA ? nyie mna ardhi mmeikalia tu hamjui matumiz yake njoo Kilimanjaro Kama utakuta ardhi haizalishi
kwa Hali hiyo mkiendeleA kuwa maskini mnalaumu?
alafu mnazaliana hovyo huku shule hamjengi matokeo yake watoto 15 elfu mkoa wa kagera wanashindwa kuandkshwa form one kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa
Kilimanjaro madarasa ni mengi kuliko watoto shule za kata mm shule yangu ya kata niliosoma vyumba 5 havikuwa na watu ikabd tuhifadhi majembe
Kilimanjaro inazaa kwa mpango ndio.maana hatuwezi kuwa na uhaba wa vyumba vya madarasa hata cku moja
na secondary tuliyajenga kwa kwenda mbele enz hizo tulipiga hesabu kubwa
 
Cheki ambavyo haamini anachokiona mpaka anasema ni Uganda mpaka umefika huko .hata tukikuelezaje hutaelewa maana ni mbishi tu.kwa hiyo hiyo nyumba ipo Uganda ? Endelea kujifurahisha.vijiji vya bukoba ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
vijijin vya uhayan vichache ndio Vina majengo mazur vingi n nothing
halo ka picha hata ingekuwa ni kweli je ni % ya kote? sisi tunaangalia takwimu za nbs mkoa wa Kilimanjaro ni wa 2 kwa makaz bora na gdp ya individual's income
 
Nimewahi kufika kishumundu, mpaka sehemu inaitwa rau (kama sijakosea) ingawa hakuna lami lakini kuna nyumba nzuri na kuna bati za msauzi. Japo kuna memba mmoja humu alidai huko ni Bush lakini nikilinganisha na vijiji vya kwetu bado kuna la kujifunza kutoka kilimanjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawajui hela Hawa uhayan mtu akiwa na mil 5 ni tajiri wakati uchagani mili 5 ni héla ya kujengea mabanda ya nguruwe ya kisasa
Jumba la mlangira mmoja huko kanyigo aka ulaya ndogo kanyigo ni kijiji kilicho na maprofesa wengi tz na nje ya tz
29.jpeg
29a.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyumba hizo ulizopost ukienda uchagani ndio zipo zaidi ya hizo vijijin
nyie chache ndio nzuri nyingi mbovu hii inachangiwa na ukubwa wa wilaya zenu@instanbul
 
Hakuna chochote special umeandika hapo.. hahaha who knows them? Kumiliki shule nako ni utajiri? Hao uliowataja wote hawafikii hata nusu ya Patrick Ngiloi Panone au Davies Mosha.. Hao uchagani wanacheza ligi ndogo.

Nitajie anaeweza kucheza ligi moja na Mengi, Michael Shirima wa Precision, Ernest Massawe wa ACB, Swala Energies, Ernest & Young, Hans Macha anaown 2pc ya CRDB.. Hao nakuanzia tu..

Hahahaha Mama Rwakatare nae tajiri wa kujivunia kumbe? Sasa tukianza kutaja wachaga wanaomiliki real estates kuanzia Kariakoo mpaka Manzese tutawamaliza?

Narudia tena nitajie notable names, kama Mafuruki na kidogo hiyo Kairuki family sio unanitajia sijui mushumbusi hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mchaga lakini sioni mantiki ya kujivunia utajili wa watu wengine walioko kabila lako. Jivunie utajili wako uliovuna kwa jasho lako. Wewe una nini. Utajili wa mwenzio sio wako
 
Uhayawani hilo jengo ni kawaida, tatizo la mkoa wa Kagera ni wilaya za biharamuro, imagine biharamuro ni maskini asilimia 60!! Hata tukiichukua hyo wilaya tukaipachika ndan ya Kilimanjaro lazima effect iwe kubwa, ni sawa na darasani zero moja inajaribu division one nyingi
vijijin vya uhayan vichache ndio Vina majengo mazur vingi n nothing
halo ka picha hata ingekuwa ni kweli je ni % ya kote? sisi tunaangalia takwimu za nbs mkoa wa Kilimanjaro ni wa 2 kwa makaz bora na gdp ya individual's income

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unabaki pale pale Kilimanjaro ni Bora View attachment 1004488

.
Kuna kitu kimenishangaza ukiangalia mikoa mitano ya juu katika hiyo listi

Kilimanjaro
Arusha
Mbeya
Kigoma

Yote hiyo ni ngome za chadema/upinzani sasa hapa kuna la kujifunza kwamba mikoa ya wajinga ndio wanaichagua ccm mikoa ya wenye akili wanachagua upinzani

Logic ni kwamba ccm ni chama cha wajinga na upinzani ni kwa wenye akili!
 
Back
Top Bottom