Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Nyie ni Wiz Wiz Tu na kuwachuma wengine hizo tabia uhayani hakuna . wanafanya vitu Kwa juhudi zao sio Wiz Wiz . inawezekana hata matokeo mnaiba na takwimu mnapanga wenyewe ili kuikandamiza kagera na ili muwe juu Yao lakini ukweli utabaki palepake The most intelligent people in Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
UN nayo imekuwa ya wachaga hahahaha..

Twende kwenye Kodi, tafuta Kagera kama mkoa unakusanya kiasi gani na Hai tu kama wilaya ya Kilimanjaro inakusanya kiasi gani hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moshi mjini ndo hapafai kabisa joto la pale utafikiri upo kwenye tanuru
Utachekwa Sana .funga Safar uende bukoba ukijanii mwingi hakuna joto wala baridi .mvua kibao mpaka zinakera .waliofika bukoba ni mashaidi.nyie moshi kuna mda Fulani kuna joto Sana na mda Fulani kuna baridi Sana hivyo huwezi vikuta bukoba ukiongeza na mandhari ya ziwa Victoria

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika wilaya za muleba, Bukoba, misenyi na Karagwe hizo nyumba ni kawaida sana, hyo nimeweka kama sample. Tatizo la Kagera ni wilaya za biharamuro na huko ngara, biharamuro ina umaskini wa asilimia 60 sawa na kakonko. So in average lazima effect ionekane kwenye mkoa mzima
Wanaofanya takwimu huwa hawaangalii minority bali majority..

Hizo nyumba maeneo ya vijiji vya moshi ni za kawaida sana, tena na mbele yake unakuta barabara ya rami safi kabisa.. Lakini Je, jamii na jirani wapoje. Ukiangalia kwa makini hapo utaona hizo nyumba ni za ndugu moja ambao labda wao wamejaliwa ukwasi lakini majirani ni hoe hae ndio maana kwenye takwimu za HDI za UN na Bodi ya Takwimu Kagera inaonekana bado iko nyuma sana..

Hapo ni sawa na kupiga picha streets za Obey, Masaki na kusema Dar au Tz nzima ni matajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu makusanyo ya kodi? Kodi ni kitu kikubwa kinachoashiria maendeleo ya eneo husika pamoja na mzunguko wa pesa..

Kwanini wilaya moja ya Hai inauzidi mkoa mzima wa Kagera kwa makusanyo?
Katika wilaya za muleba, Bukoba, misenyi na Karagwe hizo nyumba ni kawaida sana, hyo nimeweka kama sample. Tatizo la Kagera ni wilaya za biharamuro na huko ngara, biharamuro ina umaskini wa asilimia 60 sawa na kakonko. So in average lazima effect ionekane kwenye mkoa mzima

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha hizo nyumba ziko tele tu mkuu.. Yaani mchaga ashindwe kujenga hiyo nyumba?

Nilikuuliza hapa utaje wahaya wanaomiliki biashara kubwa zinazoeleweka na kufahamika hapa Tz au hata kuown share kwenye kumpuni au taasis kubwa kubwa ukaingia mitini. Vipi nikutajie wachaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wilaya ya muleba , bukoba vijijini, misenyi hakuna nyumba mbovu na wilaya hizo ndo za wahaya .kumbuka hata wanaofanya kazi mjini bukoba huondoka asubuhi na jioni hurudi kwao huko migombani.mfana Vijiji vingine vina usafiri wa daladala kama vile mbagala au mboto .mfano bukoba Vijijini maeneo ya bugabo kuna safari mpaka SAA nne usiku kutoka mjini .huku kamachumu na muleba kukiwa na daladala zaidi ya hamsini respectively

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wilaya ya muleba , bukoba vijijini, misenyi hakuna nyumba mbovu na wilaya hizo ndo za wahaya .kumbuka hata wanaofanya kazi mjini bukoba huondoka asubuhi na jioni hurudi kwao huko migombani.mfana Vijiji vingine vina usafiri wa daladala kama vile mbagala au mboto .mfano bukoba Vijijini maeneo ya bugabo kuna safari mpaka SAA nne usiku kutoka mjini .huku kamachumu na muleba kukiwa na daladala zaidi ya hamsini respectively

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia nitajie notable Hayas rather than Mafuruki..

Hakuna hakuna...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoa ulobarikiwa kuwa na mlima mrefu kuliko yote barani Africa!
Unaanzaje kuwachukia watu wake kwa mfano?!


Sent using Jamii Forums mobile app
hatuongelei kuwachukia, tunaongelea suala la ubinafsi, ety ccm ikawekeze, yaan kila kitu mnacho arafu muongezewe uwekezaji kwa maana hiyo sisi wengine siyo Tanzania ama sisi hatutaki maendeleo, acheni mambo yenu ya kishamba nyie..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Kilimanjaro aka ukweni kwangu, wamepiga hatua ktk kila nyanza ya maendeleo
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekwambia nitajie notable Hayas rather than Mafuruki..

Hakuna hakuna...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu mmiliki wa kairuki hospitals,chuo cha kairuki na taasisi za kairuki,je unafahamu kampuni ya ujenzi ya abemulo,je unafahamu masilingi, mshumbusi, wanamiliki nini .na wengine wengi ndo maana uwanja wa ndege wa bukoba unapanuliwa.huku Safar za ndege zikiongezwa kwenda bukoba .Hela ndo inaongea. Je unamfahamu mmiliki wa tusiime schools,st Mary's schools,kaizirege,mwolekas tower na pia smart oil companies .bila kusahau mwanza maghorofa mengi ni wahaya hapo sijagusa dar.je unafahamu maprofesa,madoctor ,maphd holders,mapadre ,mpaka kardinali wote ni WA wap.na je mmiliki wa clouds media ,jamii forum nk nimechoka kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom