Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 5,035
- 4,912
- Thread starter
- #301
Misenyi Na Muleba kuna wahaya maskini sanaWilaya ya muleba , bukoba vijijini, misenyi hakuna nyumba mbovu na wilaya hizo ndo za wahaya .kumbuka hata wanaofanya kazi mjini bukoba huondoka asubuhi na jioni hurudi kwao huko migombani.mfana Vijiji vingine vina usafiri wa daladala kama vile mbagala au mboto .mfano bukoba Vijijini maeneo ya bugabo kuna safari mpaka SAA nne usiku kutoka mjini .huku kamachumu na muleba kukiwa na daladala zaidi ya hamsini respectively
Sent using Jamii Forums mobile app