Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Sema tatizo moja ambalo lipo Kilimanjaro ni ubinafsi, raia wa kule ni wabinafsi sana na huwa hawaruhusu mtu asiye mzawa wa kule afanikiwe. Yani utaishi kwa raha sana kama una mshahara ila ukitegemea uanzishe business ikutoe utakesha hapo.

Sio watu wa ku support mtu yeyote anaefanya jambo zuri kama ilivyo kwa watu wa pwani! Biashara ukianzisha hata iwe nzuri kiasi gani kama sio Meku ujue imekula kwako!
 
Lindi mkoa wa kipuuzi kuliko mikoa yote nchini! Kule hata kwa mshahara wa mil.4 hunipeleki aisee! Pako kama makumbusho ya Bagamoyo miaka nenda rudi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lindi ni kituko cha Taifa,japokuwa ni mkoa unazidiwa hata na wilaya ya Monduli

Sent by Diaspora
 
Kweli Kilimanjaro ni ya kuombea kwakuwa wanamkasirisha Mungu siku zote, pombe, ngurue n.k vyote wamevikumbatia! jehannam haitawaacha salama.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna dhambi nzuri!
Lakini zinazidiana impact (s)
Sizani kama kula nguruwe ni dhambi!
Mfano Mlevi anajinywea pombe yake mwenyewe hazuii maendeleo ya mtu!
Mla nyama nguruwe pia anajilia yeye mwenyewe hamharibii mtu mwingine mafanikio yake ni yeye na Mungu wake !
Sasa mwingine, hali nguruwe,
Hanywi pombe lakini mchawi, kazi yake kuroga watu waugue, waumwe ili wasifanye kazi zao wakafanikiwa,
Mwingine mshirikina kutwa kwa waganga kuleta mfaraka wanandoa wafarakane waachane!
Fitina na wao, chuki, husda n.k!
Nani ana afadhali!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Hukumbuki jiwe anasema wasubiri kidogo nao? Huoni sasa Chato inapaishwa kila kona ya utamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanga imeendelea kuliko Chato.
Unafahamu kuwa ukitoka Mwanga kwenda Usangi barabara yake ni ya Lami? Ndani ya wilaya...
Na Mkoa wa Mwanza na Geita bado hazijaunganishwa kwa Lami.
yap mkuu na pia kama kumbukumbu zangu ziko sahihi (naweza kurekebishwa) wilaya ya mwanga ni wilaya ya pili mkoani kilimanjaro kwakuwa na shule nyingi za sekondari ukiacha wilaya ya rombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
instanbul unataja sijui wamiliki wa shule,sijui ka shell kuwa ndio matajir? Hao uchagani ni maskini kabisa,matajiri uchwara wowote uliotaja hapo wa kihaya hawafikii hata robo ya tajiri Michael shirima mmiliki wa precision air
ndio ujue nyie ni maskini yaan mmiliki wa shule uhayan ni tajiri? je ukija Kilimandjaro unakuta mtu mmoja anamiliki gorofa 10,semi trailer 20 na mabasi ya kutosha tutamwitaje? nyie hamna hela kwenu hizo ni héla akija kwetu huyo ni maskin
 
instanbul unataja sijui wamiliki wa shule,sijui ka shell kuwa ndio matajir? Hao uchagani ni maskini kabisa,matajiri uchwara wowote uliotaja hapo wa kihaya hawafikii hata robo ya tajiri Michael shirima mmiliki wa precision air
ndio ujue nyie ni maskini yaan mmiliki wa shule uhayan ni tajiri? je ukija Kilimandjaro unakuta mtu mmoja anamiliki gorofa 10,semi trailer 20 na mabasi ya kutosha tutamwitaje? nyie hamna hela kwenu hizo ni héla akija kwetu huyo ni maskin
Pamoja na nauli kuwa kubwa kutoka bukoba Hadi dar.lakini ndo route ndefu ya ndege yenye abiria wengi.una ubavu gani kusema wahaya hawana hela wakati wanasafiri Kwa ndege kuliko watanzania wote.waziri kamwene amesema uwanja wa bukoba inabidi upanuliwe Kwa sababu ya wingi WA abiria.wahaya wakiacha kusafir shirika la ndege linaweza kufa kabisa.wanataka hata ndege za abiria 270 zitue bukoba maana abiria ni wengi mno . luambo makadi usiongee Kwa chuki Tu na wivu ongea Kwa fact mi nakupa fact hiyo cheki abiria walivyoongezeka
Screenshot_20190127-181357.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom