Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,846
Huku pwani watu wanaamka saa 5 asubuhi [emoji23]🤣🤣 unakuta mwanaume ana mitala kazi ngumu ili mradi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kutoka mataifa mbalimbali huja Tanzania kupitia Kilimanjaro International Airport.
Dar Ndio Lango kuu la taifa na sio kilimanjaroWatu kutoka mataifa mbalimbali huja Tanzania kupitia Kilimanjaro International Airport.
Ni laana ya kuikumbatia ccm.Bora umeongelea habari ya mwanga... Kamji kako duni sana kale, wakat nafika pale kwa mara ya kwanza nilijiuliza hii ndiyo k'njaro inayopigiwa chapuo!!
Elimu imerudi nyumbani kwakeView attachment 1004511ukipiga chura teke unamuongezea mwendo!
dar akin amangi wakihama wote, popote watakapokwenda mtawafuata tu
Ileje siyo mbeya mzee baba😂😂😂😂Mkuu, kwenda Ileje kuna lami?
Mkuu wilaya ziko 7 na kuna wilaya ya Moshi vijijini..Naomba nikusahihishe mkoa wa kilimanjaro Una wilaya sita na sio Saba, halmashauri Ndio ziko Saba, wilaya zake ni same, mwanga, siha, hai, rombo na moshi ambayo ina halmashauri mbili halmashauri ya manispaa ya moshi (moshi) na halmashauri ya Wilaya ya moshi (vijijini), kuna sehemu umeshauri ccm wawekeze kilimanjaro Kwani wakiwekeza huko watakua wameleta maendeleo tanzania, je hivi wakiwekeza sehemu nyingine watakua hawaleti maendeleo tanzania, by the way ccm haifanyi uwekezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Lindi ni maskini wa Mali na akili pia,pesa za korosho huwa mnaonga zote!?Mkuu ubaguzi hautakuacha salama maishani mwako sisi ni watanzania Maendeleo ya Kilimanjaro ndio Maendeleo ya watanzania,
Umaskini wa Lindi ni umaskini wa Tanzania.
Nyie ndio maana raisi hata toka kwenu never
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umaskini wa Lindi umeletwa na viongozi wetu hasa wa Lindi na mtwara kukumbatia utanzania zaidi ya u Lindi na mtwara km mnavyokumbatia nyie ukilimanjaro..Lindi ni maskini wa Mali na akili pia,pesa za korosho huwa mnaonga zote!?
Sent by Diaspora
Makao makuuu yako wapiMkuu wilaya ziko 7 na kuna wilaya ya Moshi vijijini..
Mara kumi hata tungewapa Mozambique sehemu yao ya mtwara na Lindi [emoji23] [emoji23]Mkuu umaskini wa Lindi umeletwa na viongozi wetu hasa wa Lindi na mtwara kukumbatia utanzania zaidi ya u Lindi na mtwara km mnavyokumbatia nyie ukilimanjaro..
Tumetoa viongozi wengi tu ila wameweka mbele maslahi ya nchi ndio maana hadi Leo barabara ya kwenda jimboni kwa pm ni Vumbi tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Makao makuu ya nini..?Makao makuuu yako wapi
hiyo ni nzuri sana. Nafikiri mikoa mingine inahitaji oparesheni shule za kata phase 2 ili walau kuendana idadi ya shule na Kilimanjari.