Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Hakuna chochote special umeandika hapo.. hahaha who knows them? Kumiliki shule nako ni utajiri? Hao uliowataja wote hawafikii hata nusu ya Patrick Ngiloi Panone au Davies Mosha.. Hao uchagani wanacheza ligi ndogo.

Nitajie anaeweza kucheza ligi moja na Mengi, Michael Shirima wa Precision, Ernest Massawe wa ACB, Swala Energies, Ernest & Young, Hans Macha anaown 2pc ya CRDB.. Hao nakuanzia tu..

Hahahaha Mama Rwakatare nae tajiri wa kujivunia kumbe? Sasa tukianza kutaja wachaga wanaomiliki real estates kuanzia Kariakoo mpaka Manzese tutawamaliza?

Narudia tena nitajie notable names, kama Mafuruki na kidogo hiyo Kairuki family sio unanitajia sijui mushumbusi hahahahaha
Unafahamu mmiliki wa kairuki hospitals,chuo cha kairuki na taasisi za kairuki,je unafahamu kampuni ya ujenzi ya abemulo,je unafahamu masilingi, mshumbusi, wanamiliki nini .na wengine wengi ndo maana uwanja wa ndege wa bukoba unapanuliwa.huku Safar za ndege zikiongezwa kwenda bukoba .Hela ndo inaongea. Je unamfahamu mmiliki wa tusiime schools,st Mary's schools,kaizirege,mwolekas tower na pia smart oil companies .bila kusahau mwanza maghorofa mengi ni wahaya hapo sijagusa dar.je unafahamu maprofesa,madoctor ,maphd holders,mapadre ,mpaka kardinali wote ni WA wap.na je mmiliki wa clouds media ,jamii forum nk nimechoka kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna chochote special umeandika hapo.. hahaha who knows them? Kumiliki shule nako ni utajiri? Hao uliowataja wote hawafikii hata nusu ya Patrick Ngiloi Panone au Davies Mosha.. Hao uchagani wanacheza ligi ndogo.

Nitajie anaeweza kucheza ligi moja na Mengi, Michael Shirima wa Precision, Ernest Massawe wa ACB, Swala Energies, Ernest & Young, Hans Macha anaown 2pc ya CRDB.. Hao nakuanzia tu..

Hahahaha Mama Rwakatare nae tajiri wa kujivunia kumbe? Sasa tukianza kutaja wachaga wanaomiliki real estates kuanzia Kariakoo mpaka Manzese tutawamaliza?

Narudia tena nitajie notable names, kama Mafuruki na kidogo hiyo Kairuki family sio unanitajia sijui mushumbusi hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida umekariri za wachaga hebu fuatilia na wahaya na utajiri wao

Eti mama Rwakatale.huyo hata hajulikani huko uhayani.kwa kuwa huwafahamu ndo maana unabisha sina mda wa kupoteza kukuandikia. Na wew niletee list ya maprofessor na maphd holders wa kichaga tulinganishe hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubishi wa nini we jamaa pitia hapo uangalie hyo hai na muleba, yaani hai ni nusu ya muleba View attachment 1005534

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nasema hauko informed. Unatumia data za halmashauri kujustify uchumi wa eneo husika? Hizo za halmashauri ni tozo sio kodi na tozo zinatofautiana kulingana na vipaumbele na amount..

Mfano unaweza kuta Misenyi kodi za parking ya magari no elfu alafu Hai ni mia mbili, au ushuru wa stendi au soko ni elfu 2 angali sehemu nyingine ni elfu 10.

Kwa akili ya kawaida tu hivi mpaka Misenyi, Same, Rombo, Babati ziizidi Moshi Mjini achilia mbali Hai?

Takwimu za kibiashara ßahihi ni TRA ambako kodi hutozwa kulingana na mapato ya wananchi husika (Income Tax and the likes).. Sasa nenda TRA ukajionee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ywf
We jamaa unajitekenya mwenyewe, kulingana na maelezo yako halmashauri haziwezi kutoza pesa nyingi sehemu ambayo wananchi ni maskini. Makusanyo yoyote yanategemea shughuli zinazofanyika ndani ya eneo husika
Ndio maana nasema hauko informed. Unatumia data za halmashauri kujustify uchumi wa eneo husika? Hizo za halmashauri ni tozo sio kodi na tozo zinatofautiana kulingana na vipaumbele na amount..

Mfano unaweza kuta Misenyi kodi za parking ya magari no elfu alafu Hai ni mia mbili, au ushuru wa stendi au soko ni elfu 2 angali sehemu nyingine ni elfu 10.

Kwa akili ya kawaida tu hivi mpaka Misenyi, Same, Rombo, Babati ziizidi Moshi Mjini achilia mbali Hai?

Takwimu za kibiashara ßahihi ni TRA ambako kodi hutozwa kulingana na mapato ya wananchi husika (Income Tax and the likes).. Sasa nenda TRA ukajionee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti mama Rwakatale.huyo hata hajulikani huko uhayani.kwa kuwa huwafahamu ndo maana unabisha sina mda wa kupoteza kukuandikia. Na wew niletee list ya maprofessor na maphd holders wa kichaga tulinganishe hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kujivunia Prof au PhD owner yeyote nchi hii as sioni impact yao kwenye nchi yetu.. Maprof ambao wakiteuliwa wanakimbia kufundisha wanakimbilia ulaji, Maprof ambao hawajainvent chochote sioni faida ya elimu yao.

Hii simaanishi hawapo, wapo tele kuanzia Muhimbili, Mzumbe na SUA huko almost 70pc ni wakaskazini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa unajitekenya mwenyewe, kulingana na maelezo yako halmashauri haziwezi kutoza pesa nyingi sehemu ambayo wananchi ni maskini. Makusanyo yoyote yanategemea shughuli zinazofanyika ndani ya eneo husika

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekueleza kwamba tozo ni tofauti na kodi.. Unaweza kuta Misenyi mpaka mwenye mbuzi anawalipia Halmashauri lakini sehemu nyingine hawaguswi..

Uchumi hupimwa kwa kodi za TRA ambazo zinatambulika kwa flat rates nchi nzima. Kama VAT ni 18pc basi ni nchi nzima na kama Income Tax ni 30pc basi ni nchi nzima..

Halmashauri unaweza kuta kodi ya genge halmashauri moja ni laki na nusu kwa mwaka na nyingine ni laki 2.. vitu havifanani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upo pale pale, huwezi kuwatoza watu tozo kubwa ilihari biashara inaenda vibaya ina maana hyo biashara watafunga. Upangaji wa tozo lazima uendane na hali ya biashara hyo katika eneo husika

Baada ya kumchomoa Magembe kwenye uwaziri ujenzi Wa barabara kama unasuasua nilitoka mwaka 2014 nimeenda tena juzi bado haijatoboa usangi japo ile milima inatisha Kilimanjaro wapo juu. Bukoba tumezidiwa mbali
Mwanga imeendelea kuliko Chato.
Unafahamu kuwa ukitoka Mwanga kwenda Usangi barabara yake ni ya Lami? Ndani ya wilaya...
Na Mkoa wa Mwanza na Geita bado hazijaunganishwa kwa Lami.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upo pale pale, huwezi kuwatoza watu tozo kubwa ilihari biashara inaenda vibaya ina maana hyo biashara watafunga. Upangaji wa tozo lazima uendane na hali ya biashara hyo katika eneo husika

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Mtwara parking charges za Magari madogo eneo la halmashauri ni elfu 1 wakati Dar, Dodoma, Arusha, Moshi ni mia 5 kwako wewe Mtwara ni zaidi ya Dar na huko kwingine ndio maana wakaweka elfu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kingine, Arusha imekusanya Billion 2 wakati huohuo Tandahimba ina Billion 5 na Chalinze Billion 4.. did that tell u Tandahimba na Chalinze iko zaidi ya Arusha? [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa Muleba kwenye umeme REA phase 2, hakuna nyumba kama hiyo. Ni uzushi, ukibahatika kwenda huko ukapaona na jinsi wanavyopasifia, unaweza lia.

Kuna sehemu kuna watu hawajui Kiswahili kabisa.
Ila mkuu hakuna udhibitisho hapo ni Muleba.. Hata hizo gari hapo hazionyeshi kuwa na yellow plates.. Hii picha imepigwa kwa juu tu sasa tuonyeshe kwa chini hasahasa hizo gari tupate utambulisho kuwa ni za Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa Muleba kwenye umeme REA phase 2, hakuna nyumba kama hiyo. Ni uzushi, ukibahatika kwenda huko ukapaona na jinsi wanavyopasifia, unaweza lia.

Kuna sehemu kuna watu hawajui Kiswahili kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nyumba iko Uganda, nilishaiona mahali ndio maana nikawachallenge walete picha za chini za hiyo nyumba ili tuone plate namba za hayo magari wameingia mitini..

Ukiangalia kwa makini hizo gari zingekuwa ni Tz hapo mbele ya hayo magari lazima kuna unjano ungeonekana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom