Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Tatizo huwa mataka nyinyi tu ndo muonekane mna maendeleo! Niambie wilaya gani hapo Kilimanjaro inaweza kuilinganisha na Kahama?
Kahama TRA inauita mkoa malum wa kikodi! Niambie wilaya gani huko Kilimanjaro ina hadhi hiyo?
Individual ukiwatoa watu wa Kilimanjaro hapo Shinyanga na Kahama panalala doro...
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Hongereni
 
Hivi unajua kusema kweli mkoa kama wa Shinyanga kwa sasa inaweza kuwa inakimbizana na Kilimanjaro kimaendeleo sema wananchi wengi wa shinyanga hawana elimu ukilinganisha na Kilimanjaro! Ila ukienda vijijini shinyanga maendeleo yanachemka isivyo kawaida! Mfano wilaya ya Kahama na miji yake midogo midogo wananchi wanavipato vikubwa nafikiri kuliko mkoa mzima wa Kilimanjaro!

Kahama ipi?. Umasikini na uchawi wa wasukuma wajinga wajinga wa kahama ndio ufananishe na Kilimanjaro. Mpuuzi kweli wewe mavi ya mchawi yaani wajinga wajinga wa kahama wanavipato vipi zaidi ya ushamba maradhi na ujinga
 
Individual ukiwatoa watu wa Kilimanjaro hapo Shinyanga na Kahama panalala doro...
Hovi wewe unaakili kweli? Matajiri wa kahama kwa sehemu kubwa ni Wasukuma,Waha na watu wa Kagera!
Usijidanganye na kujifariji hakuna mchaga Kahama kama yupo anafanya biashara za kawaida tu!
 
Kahama ipi?. Umasikini na uchawi wa wasukuma wajinga wajinga wa kahama ndio ufananishe na Kilimanjaro. Mpuuzi kweli wewe mavi ya mchawi yaani wajinga wajinga wa kahama wanavipato vipi zaidi ya ushamba maradhi na ujinga
Unaona sasa unaanza kushambulia personality za Wasukuma!
Kwenye bisahara kanda ya Ziwa Mchaga ni mfanya biashara wa Kawaida sana!
Huku wanaofanya vizuri ni Wasukuma,Wakurya,Waha na Wahaya kwa kiasi!
 
Hovi wewe unaakili kweli? Matajiri wa kahama kwa sehemu kubwa ni Wasukuma,Waha na watu wa Kagera!
Usijidanganye na kujifariji hakuna mchaga Kahama kama yupo anafanya biashara za kawaida tu!
Bado sana mkuu.
 
Unaona sasa unaanza kushambulia personality za Wasukuma!
Kwenye bisahara kanda ya Ziwa Mchaga ni mfanya biashara wa Kawaida sana!
Huku wanaofanya vizuri ni Wasukuma,Wakurya,Waha na Wahaya kwa kiasi!

Huko kanda ya wajinga hakuna biashara ya maana. Mjadala huu ulimalizwa na Antony mtaka juzi juzi. Kiufupi msukuma hatomfikia mchaga daima. Huo ukweli kwako ni mchungu. Usukumani hakuna matajiri kama uchagani.
 
Bado sana mkuu.
Bado kwa lipi? Kwa biashara za kibongo bongo hizi watu wa Kahama wanazidanya sana!
Kahama inajengwa na wafanya biashara wa madini,kilimo nakiashara za kawaida!
Tatizo kuna baad hi ya watu huwa hamtaki kuku bali kuwa endo gulabi watu wanafanya vizuri!
Unataka kulazimisha tu kwamba Kahama bila wachaga haipo lakini kila mtu anajua Kahama wafanyabbiashara ni watu wa jamii gani!
 
Huko kanda ya wajinga hakuna biashara ya maana. Mjadala huu ulimalizwa na Antony mtaka juzi juzi. Kiufupi msukuma hatomfikia mchaga daima. Huo ukweli kwako ni mchungu. Usukumani hakuna matajiri kama uchagani.
Sasa Antony Mtaka kamtaja mnyantuzu ambaye ndo msukuma mwenyewe au wewe hujui kwamba mnyantuzu ni msukuma ni kama Mchaga aseme mrombo!
Matajiri kwenye nini? Mbona msukuma yupo kila zekta ambayo hata mchaga yupo!
 
Sector gani mchaga hayupo bali msukuma yupo. Acha uzwazwa msukuma kwene list ya matajiri nchini hayupo. Kanda ya Ziwa umasikini, ujinga, maradhi na uchawi ndio vimetamalaki. Msukuma sio tajiri bali ni mjinga mjinga mshamba asie na elimu wala kipato.
 
vijiji vyote vya kaskazini ukitoa tanga viko vizuri...niliwahi kufika eneo moja linatwa UGWENO sehemu panaitwa MALEKANO ni milima mitupu lakini umeme unawaka nambiwa toka 70s
 
Sector gani mchaga hayupo bali msukuma yupo. Acha uzwazwa msukuma kwene list ya matajiri nchini hayupo. Kanda ya Ziwa umasikini, ujinga, maradhi na uchawi ndio vimetamalaki. Msukuma sio tajiri bali ni mjinga mjinga mshamba asie na elimu wala kipato.
Wewe inasema msukuma tajiri hayupo sawa!
Nikuulize tu mfano mbunge wetu Kishimba anamiliki DAR FREE MARKRT,LAMADA HOTEL ILALA,ROCK BEACH MWANZA na ndo mzawa mwenye real estate nyingi hapo Dodoma wewe unamuona sio tajiri kwa vile tu sio mchaga ni msukuma uliyena chuki nae!
Vipi kwenye madini na kilimo nani yupo zaidi kati ya mchaga na msukuma?
 
Kahama ipi?. Umasikini na uchawi wa wasukuma wajinga wajinga wa kahama ndio ufananishe na Kilimanjaro. Mpuuzi kweli wewe mavi ya mchawi yaani wajinga wajinga wa kahama wanavipato vipi zaidi ya ushamba maradhi na ujinga
Wewe unaonesha unachuki zisizo na maana! Watanzania hatuko hivo! Kwa hiyo unataka kuniambia Wasukuma wa Kahama hawana hela na Wachaga wa Kilimanjaro ndo wana hela? Haya umeshinda nyinyi ndo mnaakili ya kupata hela wengine hawana!
 
Majitu mambumbumbu ya kahama hayana fedha mengi yao ni primitive society. Wachaga wa Kilimanjaro wana ukwasi wa kutisha na ni jamii namba moja iliyoendelea Tanganyika. Wasukuma Dubai, China au ulaya hawapo kabisa na kama wapo basi hawazidi 7. Wengi wao sio wasomi wala wafanya biashara zaidi ya uvuvi uchwara ufigaji wa kizamani usio na faida pia shughuli za kilimo kidogo. Huko dubai, China, Hong Kong, turkey wachaga wapo wa kutosha wanafanya mabiashara, vibarua uchwara wengine ni waganga njaa. Kipindi Qatar wanajenga viwanja vya mpira kuna ndugu zangu walienda kule kama vibarua wengine wamejiongeza kwenda dubai kufanya vibiashara wapo waliotoboa na wengine ni ungaunga lakini huwezi wafananisha kimaisha na wajinga wa kanda ya ziwa hasa shinyanga mwanza na simiyu.
 
Wewe inasema msukuma tajiri hayupo sawa!
Nikuulize tu mfano mbunge wetu Kishimba anamiliki DAR FREE MARKRT,LAMADA HOTEL ILALA,ROCK BEACH MWANZA na ndo mzawa mwenye real estate nyingi hapo Dodoma wewe unamuona sio tajiri kwa vile tu sio mchaga ni msukuma uliyena chuki nae!
Vipi kwenye madini na kilimo nani yupo zaidi kati ya mchaga na msukuma?

Uwekezaji wa bwana mdogo kishimba wachaga kibao wanao wala siwezi anza kufananisha matajiri hapa maana utatoka kama. Kilimo kipi bwana sambulugu hikihiki kilimo cha bongo au kipi? . Madini yapi hayo?. kitakwimu kanda za Ziwa migodi yote inamilikiwa na wawekezaji wakubwa na ndio maana mita chache kutoka migodini hali ya wananchi ni mbaya wengi wao hawana umeme, maji, wala miundombinu ya barabara, umasikini wa kutisha na jamii zisizo starabika. Madini yamewafaidisha sana wachaga kuliko wasukuma. Tanzanite imejenga Arusha, moshi na mabilionea wengi wa rchugga ni mabosi wa mawe. Broo wahindi wanalijua hilo tumefanya nao sana biashara za madini ya tanzanite huko kenya. Wasukuma mnachimba tumadini kama wachimbaji wadogo, nyinyi sio wadosi wa mawe. Umasikini uliopo kanda ya Ziwa ni kiererezo tosha.
 
Mhuu maendeleo sio kihiivyo, nimetembea nchi hii karibu kila mahali sii kweli Kilimanjaro kuna kila kitu sii kweli maeneo mengi yameshaendela Wachagga wanalewa sifa ambazo sii za kweli. Rais aliwaleza nyie msubiri mkafurahiii kuna shida umaskini umetamakaji vijijini, ulevi na vingine vingi wenzenu wanawapaka mafuta kwa mgogngo wa chupa nyie huree amkeni. Hali ya huko iliwekwa na mababu zenu mkizembea itapeperuka na mtakuwa wa mwisho. Hebu nendeni kwenye list ya mikoa tajiri mpo wa ngapi ni chini kama sii wa mwisho chini kule, amkeni acheni shobo. Tunawashukuru kwani tulisoma kwenye shule zenu ila be aware muda sii rafiki sana. Anzisheni umoja wa kujisaidia muache kutegemea serikali. Zao lenu la kahawa kwishney mna nini sasa, wazee kule ndio msiseme.
Tupe Ukweli wako
 
Ant chagga au ant kilimanjaro wako njiani kuja na povu kali hapa.

Ongezea na huduma za afya kwa hospitali kila kijiji na upatikanaji wa maji safi na salama kwa wingi isipokuwa sehemu ndogo ya MWANGA walokumbatia ccm bado.
ccm wakasema maendeleo hayataenda kwa wapinzani.

Tukalalamika.

Turns out kumbe nyinyi ndiyo mlianza
 
Back
Top Bottom