Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mwanga imeendelea kuliko Chato.
Unafahamu kuwa ukitoka Mwanga kwenda Usangi barabara yake ni ya Lami? Ndani ya wilaya...
Na Mkoa wa Mwanza na Geita bado hazijaunganishwa kwa Lami.
Sasa umesahau kua cleopa msuya ndio kwake,,,,vijiji vya mwanga kama ugweno, vuchama etc kila kata walikua na hosp na umeme those days PM akiwa msuya wakati dodoma mpaka leo haijafikia malengo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1994 Kilimanjaro ilikuwa na shule za sekondari 104 ,dar zilikuwepo 10, barabara ya lami ya kwenda machame ilijengwa miaka ya sabini, lakini hadi sasa hivi kutoka tabora kwenda katavi barabara haina lami.

Project ya maji ya kutoka machame ni kubwa ina uwezo wa kusambaza maji hadi Jimbo la Simanjiro ambaye mbunge wake alikuwa ccm na ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Njombe lakini aliogopa kuomba kuunganishiwa maji kwa kuona aibu kuwa atampaisha Mbowe,hivyo akaacha wananchi wake wateseke.

Ukiacha biashara ya kuunga mkono juhudi za rais, mkoa mzima ulikuwa na mbunge mmoja tu wa ccm. (Nayo ilitokana na cuf na chadema kuweka wagombea ila idadi yao ya kura ilizidi zile za ccm ).

Ni mkoa pekee ambao baada ya shughuli za mwaka mzima, wenyeji wake wengi hurudi kwao kusalimia ndugu,jamaa na marafiki katika sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni mkoa ambao una mlima mrefu wa volkano kuliko yote duniani.

Wenyeji wa mkoa huu ni wachaga,wapare na wamasai.

MUNGU IBARIKI KILIMANJARO

Sent using Jamii Forums mobile app
JF ina vichwa aisee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Inasemekana ndo sababu ya wao kutolewa kwenye sehemu nyeti za maamuzi msimu huu. Maana kwa miaka 50 ya uhuru wetu, walikuwa na madaraka kwenye organs muhimu za maamuzi nchini na maeendeleo ya vitu na watu yalikuwa yanaanzia Arusha na kuishia Kilimanjaro. Inasemekana lakini. Angalau msimu huu Nkasi ndo tumeona gari kwa mara ya kwanza baada ya mbunge wetu mpendwa mzee Kessy kuleta ile ambulance, na tuna matumaini kuwa lami ikifika Kigoma, hata sisi itatufikia ikiwa inaelekea Katavi.
 
Nadh
Watu na husda zao subiri waje!
Badala ya kujifunza kwa aliyefanikiwa eti unamchukia na kumuonea Wivu uliokithiri ( husda)
Sasa hiyo huwa haisaidii kabisa!
[emoji14][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wamejifunza kwa walionacho walikipataje, ndo wanatekeleza sasa. Fumbua macho, angalia kwa makini.
 
Mwaka 1994 Kilimanjaro ilikuwa na shule za sekondari 104 ,dar zilikuwepo 10, barabara ya lami ya kwenda machame ilijengwa miaka ya sabini, lakini hadi sasa hivi kutoka tabora kwenda katavi barabara haina lami.

Project ya maji ya kutoka machame ni kubwa ina uwezo wa kusambaza maji hadi Jimbo la Simanjiro ambaye mbunge wake alikuwa ccm na ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Njombe lakini aliogopa kuomba kuunganishiwa maji kwa kuona aibu kuwa atampaisha Mbowe,hivyo akaacha wananchi wake wateseke.

Ukiacha biashara ya kuunga mkono juhudi za rais, mkoa mzima ulikuwa na mbunge mmoja tu wa ccm. (Nayo ilitokana na cuf na chadema kuweka wagombea ila idadi yao ya kura ilizidi zile za ccm ).

Ni mkoa pekee ambao baada ya shughuli za mwaka mzima, wenyeji wake wengi hurudi kwao kusalimia ndugu,jamaa na marafiki katika sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni mkoa ambao una mlima mrefu wa volkano kuliko yote duniani.

Wenyeji wa mkoa huu ni wachaga,wapare na wamasai.

MUNGU IBARIKI KILIMANJARO

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenena mambo niliyokuwa najiuliza Sema nilipuuzia kuuliza wazee. Mimi nilizaliwa arusha nyumban kwa wazazi ni machame.. Mzee alijenga miaka hiyo nyumba ya block kijijini sasa likizo alikuwa anatupeleka kijijin kwa bibi miaka ya 2000 mwanzo nilipenda Sana mazingira ya bushi kwa sababu huduma zote zilikuwepo maji Safi, umeme na Barabara ya lami kwa sababu nyumban ni karibu na mkwarungo hospital. Kunakipindi nilidhani vijiji ndio maisha yalivyo mzuri vile kwa Tanzania yote kumbe ni tofauti kabisa. Nilipo jiunga tanga tech form 1 ndio nilianza kuona uhalisia wa maisha ya mtanzania.....wazee wetu walijitahidi Sana kutengeneza maisha ya kijijin hadi Leo panavutia kwenda kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisée Leo umeamua kutupongeza kabisa? siamini labda id Yako imevamiwa
Kilimandjaro ni kama maji huwez kuyakwepa usipo yanywa utayaogea,usipoyaogea utafulia nk
Waite wenzio kina sundoka ,Windhoek waje wabishe Tena kwa mwaka wa 3 mfululizo Kilimandjaro inazd kuongoza kitaifa form four pia ikiongoza kwa idadi ya shule
Mi napinga uongo na vitu visivyokuwa na fact .lakini top ten wahaya wamejazana kama nini huku bukoba ikiwa ya pili kihalmashauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tubadilike
Tuache kuanzisha mijadala yenye uelekeo wa kikanda na ukabila,si nzuri sana kwa afya na mustakabali wa taifa letu.

Binafc nimekulia na kusoma KLM, moshi mjini pale.Ingawa si wa asili ya kanda hiyo.And niliperform vizuri sana then nikachaguliwa special schools, Warsaw then varsity. So most yanayosemwa kuhusu KLM in general ni kwel but isiwe fimbo ya kuleta utengamano katika taifa na kudharau watanzania wengine.

Tuepuke mada kama hizi,kwenye forum kubwa kama hii cause zinachosha na zinaonyesha upeo wetu wa kifikra na kimaendeleo ulivyo.

Adios

Hakuna lengo lá kuleta utengano na jamii NYINGINE,lengo ni ku inspiré
 
Chaggas katika ubora wenu wa misifa kila wakati. Tulieni hayo mnayotuambia kila siku ni wimbo wa taifa???
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1994 Kilimanjaro ilikuwa na shule za sekondari 104 ,dar zilikuwepo 10, barabara ya lami ya kwenda machame ilijengwa miaka ya sabini, lakini hadi sasa hivi kutoka tabora kwenda katavi barabara haina lami.

Project ya maji ya kutoka machame ni kubwa ina uwezo wa kusambaza maji hadi Jimbo la Simanjiro ambaye mbunge wake alikuwa ccm na ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Njombe lakini aliogopa kuomba kuunganishiwa maji kwa kuona aibu kuwa atampaisha Mbowe,hivyo akaacha wananchi wake wateseke.

Ukiacha biashara ya kuunga mkono juhudi za rais, mkoa mzima ulikuwa na mbunge mmoja tu wa ccm. (Nayo ilitokana na cuf na chadema kuweka wagombea ila idadi yao ya kura ilizidi zile za ccm ).

Ni mkoa pekee ambao baada ya shughuli za mwaka mzima, wenyeji wake wengi hurudi kwao kusalimia ndugu,jamaa na marafiki katika sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni mkoa ambao una mlima mrefu wa volkano kuliko yote duniani.

Wenyeji wa mkoa huu ni wachaga,wapare na wamasai.

MUNGU IBARIKI KILIMANJARO

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatupa ujumbe gani hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
instanbul acha kudanganya watu wanafunzi top Ten wengi wametoka st Francis na Wana majina ya mbeya,eti wanafunz 5 Kati ya 10 ni wahaya labda ujadanganye ambao hawakusoma hiyo ododha,kagera imepigwa chini kimkoa wala haipo top 5 acha kujifariji
Unayafahamu majina ya kihaya wew je kagemulo,atu,karugwa ,kibena nk je sio majina ya kihaya? intelligence inabaki palepale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom