Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

Kwamba hizo ndio facts? Yaani hizi hivi vijimaneno vyako vya kijuha vilivyochanganyikana na chuki za kipumbav ndio unaita facts?

Jesca kusema mitano tena ikiwa hiyo ndio slogan kuu ya chama chake kuna shida kuna shida? Ulitaka asemeje kwa mfano?

Najua unaweza kujiona una akiiili kumbe ni mpumbav juha tu mmoja hivi ambaye ukikutana na yoyote mwenye akili lazima akudharau?

Narudia tena nikiona mtu anaendelea kumlaumu Magufuli kama blueprint ya maovu yote yanayofanywa na serikali ya samia badala ya kuchukua hatua huwa namdharau sana na kumuona hana tofauti na Ngedere anayepiga kelele kuomba msaada baada ya kukamatwa na chui ilihali uwezo wa kutoroka anao.
Kabla ya Magufuli watu walikuwa wanatekwa na kupotea ? Kabla ya Magufuli kulikuwa na upendeleo wa waziwazi wa maendeleo alikotoka rais wa nchi ? Kabla ya Magufuli kulikuwa na ndugu wa karibu na rais katika baraza la mawaziri ? Kabla ya Magufuli kulikuwa na upendeleo wa watu wa kabila la Rais katika ajira za serikali ? Acha ushabiki jamaa ashakufa na ameoza na tushamsahau. Huyu Jamaa ndio amefanya kila mtu ajue utamu wa urais.
 
Xi Jinping hawa ndiyo watu wenye uelewa mpana, wanatosha kujadiliana nao
 
Xi Jinping hawa ndiyo watu wenye uelewa mpana, wanatosha kujadiliana nao
Magufuli atalaumiwa tu kwa yote ya kishenzi aliyofanya, sikuzote dikteta hataki kukosolewa na hilo lilionekana katika enzi za utawala wake

Mauaji, utekaji, kukiukwa kwa haki za binadamu, kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari, kusingiziwa kesi za uhujumu uchumi, bunge la ovyo n.k ni miongoni mwa legacies za Magufuli

Dikteta alifikia hatua anawachimba mkwara wapiga kura wasimpomchagua mbunge wa CCM wasahau kuhusu miradi ya maendeleo jimboni kwao

Bora alivyokufa alikuwa anatupeleka pabaya sana yule mshenzi.

Polepole akikutana naye huko hell watakumbushana maukatili yao waliyoyafanya Tanzania walipokuwa hai
 
Waliopotea enzi za utawala wake kwa sababu ya kumkosoa, aliowaua, aliowateka na kuwapiga risasi huo nao ni uzalendo sio?

HP alikuwa moja ya maafisa waandamizi wa serikali ya Magu akiyashuhudia na kuyaunga mkono

Ben Saanane yuko wapi? Nani alimpiga risasi Lissu? Alphonce Mawazo, Azory Gwanda?
Wahuni
 
Mwaka 2016 Rais John Magufuli alimteua Polepole kuwa Mkuu wa wilaya ya Musoma, mkoani Mara, alikohudumu kwa miezi michache kisha kuhamishiwa Ubungo Dar es Salaam kwa nafasi hiyo hiyo ya ukuu wa wilaya na kuhudumu kwa miezi michache pia.

Umaarufu wake uliongezeka alipoteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, nafasi ambayo kimsingi ni ya kuwa msemaji wa chama hicho kinachotawala Tanzania.

Anafahamika kwa kutetea sera na utendaji wa CCM na serikali ya Rais Magufuli, hata pale kulipokuwa na utata mkubwa wa masuala kama vile tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu, utekaji, kuwaweka watuhumiwa mahabusu kwa muda mrefu na wengine kufunguliwa kesi nzito za uhujumu uchumi na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020.

HP kama ameuliwa ni sawa tu
Ok sawa

Uliamini kama HP mwanaccm mwenzao atatekwa? Maana tulizoea upinzani na wakosoaji tu ndiyo waathirika si ndiyo? Na unajua sababu za kuingia na VPN humu jf sasa? Sasa ndugu yangu atupo salama tusibabaike na majina bandia, tukianza kufinywa mmoja mmoja humu ndio utaamini watawala awataki kukosolewa.
 
"Mnaijua VIEITEE nyieeee? Viongozi wote wa CCM tunapanda na kuendesha VIEITEE."

– Humphrey Polepole (2019)

View attachment 3485224
View attachment 3485225

View: https://x.com/Getrude_mollel/status/1975470256446636380?t=kqHSUT-aPrZPBBTsOVrE8Q&s=19

Kama upo kwenye circle wewe utakuwa na usalama na haki kufurahia utekaji maana ni mnufaika na kama haupo kwenye circle na upo kushauri watawala ambao awataki kushauriwa, ipo siku haina jina ya Polepole,Ben, mdude na sisi wengine humu watarajiwa. Suala la muda tu tuendelee kupaza sauti utekaji hauna dini, kabila wala itikadi ya chama
 
Ni watu gani waliopotezwa na Xi Jinping?
Kwamba unataka nikutajie majina ya raia wa china woote waliowahi kupotezwa na serikali ya Xi Jinping ndio uamini kuwa hata serikali ya china nayo pia ni ya kimabavu au?

Kwamba unataka kusema kuwa serikali ya XI haijawahi kuua dissenters wake sio?

Wewe jamaa ni pimbi sana halafu unajikutaga mjuvi wa mambo.

Kwanza point yangu ilikuwa ni wewe Xi ping ni mzalendo au sio mzalendo wa taifa lake,
 
Attachments

  • Screenshot_20251008_092623_Chrome.jpg
    Screenshot_20251008_092623_Chrome.jpg
    226.5 KB · Views: 17
  • Screenshot_20251008_092623_Chrome.jpg
    Screenshot_20251008_092623_Chrome.jpg
    226.4 KB · Views: 16
Uzalendo ni nini? Uzalendo ni kuwanyamazisha wakosoaji? Au kutovipa vyombo vya habari uhuru?
Naona uko na ujinga mwingi sana kuhusiana na neno uzalendo, haya nakuuliza tena hili..

..Vladimir Putin raisi wa Urusi ni mzalendo kwa taifa lake au si mzalendo?
 
Wote tupinge ukatili unaoendelea. Lakini kusema Pole pole ni mzalendo hapo ni uongo. Mnashindwa tu kukumbuka jinsi alivyokuwa anakera kipindi yupo kwenye system anafanya hesabu zake za kinafiki ku justify CAG hayupo sahihi.

Ccm huwa ni wanafiki sana,wanajifanya wapo upande wa raia wakitupwa nje ya system yao. Mimi siyapendi hata liwe lishajitoa huko,ni yale yale. Mzalendo ni Lissu,mambo ya watu wasiojulikana yalianzia kipindi yupo kwenye system aliwahi kukemea?
Kuna mtu aliwahi kuwaza kuwa huyu naye anaweza kuja kutekwa?

Kile kinachoniwazishaga nakosa majibu ni wale hohehahe wenzetu wanakuwa wanashangilia yanayoendelea wakidhani wanawakomoa wapinga sisiemu, wanamaisha magumu kuliko hata raia wengine
CAG alikua mwanamtandao umeshamskia siku hizi mnachelewa kujua mambo
 
Naona uko na ujinga mwingi sana kuhusiana na neno uzalendo, haya nakuuliza tena hili..

..Vladimir Putin raisi wa Urusi ni mzalendo kwa taifa lake au si mzalendo?
Nini maana ya uzalendo? Jibu swali kwanza
 
Kabla ya Magufuli watu walikuwa wanatekwa na kupotea ? Kabla ya Magufuli kulikuwa na upendeleo wa waziwazi wa maendeleo alikotoka rais wa nchi ? Kabla ya Magufuli kulikuwa na ndugu wa karibu na rais katika baraza la mawaziri ? Kabla ya Magufuli kulikuwa na upendeleo wa watu wa kabila la Rais katika ajira za serikali ? Acha ushabiki jamaa ashakufa na ameoza na tushamsahau. Huyu Jamaa ndio amefanya kila mtu ajue utamu wa urais.
Kwamba huko nyuma kabla ya 2015 hakuna watu waliowahi kutekwa au?

Ulikuwa bado uko kwenye kiuno cha baba ako kipindi mwenyekiti wa chama cha madaktari nchini dk. Ulimboka anatekwa na kung'olewa meno yote na kisha kutupwa msitu wa mwabepande?

Vipi na mauji ya mwana habari nguli Mwangosi talifanyika awamu ya tano au?

Vipi na vijana wa chuo waliopigwa na polisi wakaenda kufia hospitalini kwenye maandamano ya wanachuo mwaka 2011 raisi alikuwa ni Magu au?

Unaandika maelezo mengi kwa kujiamini wakati kuna gap kubwa sana liliojazwa na ujinga kwenye kichwa chako..!!

BTW, siko hapa kumtetea Magu na wala sikubaliani na hayo matukio ya kikatili yaliyotokea kwenye awamu yake na kama alihusika basi apewe adhabu anayostahili huko alipo....

...Mimi hasira na chuki zangu huwa zipo kwa nyie wajinga ambao kila tunapoongelea mambo ya utekaji na mauaji yanayifanyika awamu hii nyie haraka mnageuza mada inakuwa ya kuhusu Magufuli na kuwaacha kabisa kuwaongelea perpetrators wa kipindi huki, yaan inakuwa ni kama mko pamoja na wauaji wa kipindi hiki huku mkitupia lawama kwa utawala uliopita kwa makosa ya awamu hii.

Kwa akili hizi mbovu mlizonazo, naamini hata siku Samia akimaliza muda wake kisha akafuata Nchimbi au Ridhiwani kukalia kitu cha uraisi, naye akawa anafanya mauji na utekaji kwa critics wake hivi hivi bado mtaendelea kumlaumu Magufuli, yaan mauji yanafayika mwaka 2033 huko nyie na akili zenu mbovu mtakuwa mnamlaumu mtu aliyekufa mwaka 2021... mna akili kama ndogo sana kama za Nzi.

Eti bila aibu kabisa unasema "magufuli ndio aliowaonesha hawa wote utamu wa kuwa raisi" una akili kweli wewe?

Haujui hata mtu ambaye yeye na familia yake wameufaidi uraisi, na wanaendelea kuufaidi na mpaka vizazi vyake vijavyo vitanufaika nao.. unaongelea Magufuli kuufaidi uraisi na wakati leo hii jina la magufuli kwenye system ni la kutafuta kwa torch...!? We jamaa bwana.

Endeleeni kukalisha matako hapo mkilaumu magufuli huku serikali ya samia ikitumaliza watanganyika mmoja baada ya mwingine.
 
Kama upo kwenye circle wewe utakuwa na usalama na haki kufurahia utekaji maana ni mnufaika na kama haupo kwenye circle na upo kushauri watawala ambao awataki kushauriwa, ipo siku haina jina ya Polepole,Ben, mdude na sisi wengine humu watarajiwa. Suala la muda tu tuendelee kupaza sauti utekaji hauna dini, kabila wala itikadi ya chama
Polepole usimweke kwenye circle ya akina Ben na Mdude, huyo wakati boss wake Magu anaua alikuwa anamtetea.

Yeye afe tu familia yake ndio watambue uchungu wanaopitia familia za akina Ben Saanane
 
Wote tupinge ukatili unaoendelea. Lakini kusema Pole pole ni mzalendo hapo ni uongo. Mnashindwa tu kukumbuka jinsi alivyokuwa anakera kipindi yupo kwenye system anafanya hesabu zake za kinafiki ku justify CAG hayupo sahihi.

Ccm huwa ni wanafiki sana,wanajifanya wapo upande wa raia wakitupwa nje ya system yao. Mimi siyapendi hata liwe lishajitoa huko,ni yale yale. Mzalendo ni Lissu,mambo ya watu wasiojulikana yalianzia kipindi yupo kwenye system aliwahi kukemea?
Kuna mtu aliwahi kuwaza kuwa huyu naye anaweza kuja kutekwa?

Kile kinachoniwazishaga nakosa majibu ni wale hohehahe wenzetu wanakuwa wanashangilia yanayoendelea wakidhani wanawakomoa wapinga sisiemu, wanamaisha magumu kuliko hata raia wengine
Ulikua mdogo Olimboka anatekwa sio? wasiojulikana wapo tangia miaka na miaka
 
Wote tupinge ukatili unaoendelea. Lakini kusema Pole pole ni mzalendo hapo ni uongo. Mnashindwa tu kukumbuka jinsi alivyokuwa anakera kipindi yupo kwenye system anafanya hesabu zake za kinafiki ku justify CAG hayupo sahihi.

Ccm huwa ni wanafiki sana,wanajifanya wapo upande wa raia wakitupwa nje ya system yao. Mimi siyapendi hata liwe lishajitoa huko,ni yale yale. Mzalendo ni Lissu,mambo ya watu wasiojulikana yalianzia kipindi yupo kwenye system aliwahi kukemea?
Kuna mtu aliwahi kuwaza kuwa huyu naye anaweza kuja kutekwa?

Kile kinachoniwazishaga nakosa majibu ni wale hohehahe wenzetu wanakuwa wanashangilia yanayoendelea wakidhani wanawakomoa wapinga sisiemu, wanamaisha magumu kuliko hata raia wengine
Ulikua mdogo Olimboka anatekwa sio? wasiojulikana wapo tangia miak
 
Back
Top Bottom