Umeandika upumbavu mtupu, haya endelea kuona serikali zilizopita huko nyuma zilikuwa serikli takatifu, na serikali ya Samia ni takatifu tena sana tu haipaswi kabisa kulaumiwa kwa tukio lolote la kikatili inalolifanya.
Naamini siku wakikuteka wewe kisha wakakufira na kukutupa mtaroni, lawama zote utazipeleka kwa huyo Magu na kisha hao wafiraji wako utawaona hawana kosa.. maana ndivyo jinsi akili yako inavyo reason.
Mimi siko ccm wala chadema, ila huwa sipendezwi tu na ujinga na kila nikiuona lazima niukemee..!!
Watu wanaishi kwa hofu na wanawaza wataondokana vipi na hii serikali dhalimu ya samia, wewe uko hapa unaleta hekaya za magufuli, tena umekaza pumbu kabisa unashuka essay ndeefu ambazo between the lines unaitetea serikali ya muuaji Samia.. una akili wewe?
Kwamba kwa yanayoendelea sasa hivi basi tuacha kudeal na Samia kisha twende Chato tukamfukue Magufuli ndio tumuadabishe sio? Tumuulize kwanini amemuua Mdude, Ally Kibao na Soka si ndio maanake? Si ndio unachokimaanisha?
Kubwa jinga wewe, akili yako haina akili.. unanichosha tu hapa kwanza.