Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

Tumefika pabaya sana
 
Attachments

  • jamvi255-20251007-0001.jpg
    jamvi255-20251007-0001.jpg
    54.6 KB · Views: 11
Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo wapi sasa ukweli uko wazi jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli amefariki wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu na maskio waliobaki wote zilikua ni kelele. Kipindi cha Magufuli kila mtu alijifaya mzalendo kumbe maigizo wakina Kabundi na kundi lake wakajivisha uzalendo feki kiko wapi leo wakina Bashiru mnashindwa kutoa hata tamko la Kijana wenu polepole uzalendo wenu uko wapi? Mzalendo wa kweli ni Polepole watanzania tuamke leo kwa Polepole kesho kwako Mtanzania yoyote anayependa nchi yake JWTZ waliopo kwenye vyombo vya Usalama wazalendo tupaze sauti wa mrudisheni Polepole akiwa mzima bila Masharti yoyote
Makonda ni chawa na kibakaa. Period.
 
Wewe ndiyo hauna akili ...vita ni mbinu nyingi sana ...hivyo wapo wazalendo wengine wamenyamaza kimywa kwa sababu za baadae na wapo wengine wanaongea kwa sababu na wengine wamejificha kwa sababu za msingi ....katika mapambano ni lazima mbinu zaidi ya moja zitumike
Hata hivyo, atamfuata magu wake soon believe ye me
 
Ben Saanane hakuwa anakosoa UTAWALA wa Magufuli ila alikuwa anakosoa ELIMU ya Magufuli.

Ben saanane alishaonywa na Tundu Lisu pamoja na Mbowe hapahapa jamvini kabla umauti haujamfika.
Kwa hiyo ukikosoa elimu ya kiongozi lazima upotezwe? Vipi kuhusu Roma, Azory, Alphonce, Lissu kupigwa risasi, Tito Magoti, Theodore Gyan, Simon Kanguye, kutekwa kwa Mo n.k?
 
Wewe ndiyo hauna akili ...vita ni mbinu nyingi sana ...hivyo wapo wazalendo wengine wamenyamaza kimywa kwa sababu za baadae na wapo wengine wanaongea kwa sababu na wengine wamejificha kwa sababu za msingi ....katika mapambano ni lazima mbinu zaidi ya moja zitumike
Sawa mwenye akili
 
Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo anaweza kuvaa viatu vya Magufuli wapi sasa ukweli uko wazi jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli amefariki wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu na maskio waliobaki wote zilikua ni kelele. Kipindi cha Magufuli kila mtu alijifaya mzalendo kumbe maigizo wakina Kabundi na kundi lake wakajivisha uzalendo feki kiko wapi leo wakina Bashiru mnashindwa kutoa hata tamko la Kijana wenu polepole uzalendo wenu uko wapi? Mzalendo wa kweli ni Polepole watanzania tuamke leo kwa Polepole kesho kwako Mtanzania yoyote anayependa nchi yake JWTZ waliopo kwenye vyombo vya Usalama wazalendo tupaze sauti wa mrudisheni Polepole akiwa mzima bila Masharti yoyote
Utekaji na kupotezwa vilianza enzi za Magufuli. Polepole alikuwa mwenezi wa chama. Kuna wakati alijitokeza kukebehi waliopotelewa na ndugu zao. Polepole hana uzalendo wowote, huenda kuna kundi lilikuwa nyuma yake ambalo walimuahidi kurejea jikoni kuendeleza upishi na ulaji wa keki ya Taifa. Lakini wamezidiwa nguvu/ujanja na the so called wahuni.
 
POLEPOLE alishaomba MSAMAHA Wewe umekamilika?
 
Si unaona sasa? Inabidi umsupport Lisu ili uitwe mzalendo😁

Cc: Mimi Wewe Yule
Mbowe ni tapeli kama Makonda hata ukimuuliza mtoto mdogo bora ya Lissu na Polepole ila Mbowe ni tapeli alikua anatumia wana chadema kama mtaji wake kujinufaisha na utajiri Makonda anatumia uzalendo koko kupanda ngazi kisiasa kiufupi Makonda na mbowe na wakua jela
 
Hata hivyo, atamfuata magu wake soon believe ye me
Nikitumia akili yangu nakuambia hatari ni kwa samia na genge lake kuliko polepole kumbuka mimi nilisema hapa jf kuwa ifikapo 2024 samia ataanza kumwaga damu nyingi sana mlinipinga...ccm na chadema mlibisha ...unajua kwanini nilijua kuwa Samia atamwaga damu nyingi? Unajua nilitumia akili gani kusolve hadi nikapata ilo jibu ? Nikama Samia akifikisha 2029 hapa patakuwa na kivumbi haswa ....naweza kukuelezeni nini yatakayo tokea huo muda ....
SAMIA KULIKUWA NA NJIA MBILI ZA KUMKABILI ILA WAPINZANI WA TANZANIA HAWANA AKILI ...HIVYO WATA ANGAMIZWA VIBAYA SANA KWENYE JITIHADA ZAO ZA KUPIGANIA TAIFA
 
Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo anaweza kuvaa viatu vya Magufuli wapi sasa ukweli uko wazi jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli amefariki wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu na maskio waliobaki wote zilikua ni kelele. Kipindi cha Magufuli kila mtu alijifaya mzalendo kumbe maigizo wakina Kabundi na kundi lake wakajivisha uzalendo feki kiko wapi leo wakina Bashiru mnashindwa kutoa hata tamko la Kijana wenu polepole uzalendo wenu uko wapi? Mzalendo wa kweli ni Polepole watanzania tuamke leo kwa Polepole kesho kwako Mtanzania yoyote anayependa nchi yake JWTZ waliopo kwenye vyombo vya Usalama wazalendo tupaze sauti wa mrudisheni Polepole akiwa mzima bila Masharti yoyote

Polepole ni jazi ya Maza kupitia akina Mafwele na Muliro.
 
Safi sana, umeandika vizuri. Jeshi ilipaswa lijitegemee liwe na jukumu kuu la kulinda nchi kwa maadui wa ndani na nje. Mfano kwenye mambo yanayo endelea Sasa hivi jeshi ilipaswa kuingilia kati kwa faida ya taifa. Sasa ndio kwanza ata hawana habari, wapo wapo tu,hakuna jeshi hapa limeisha vamiwa na wana siasa.
TOA HAO JWTZ KWAMBA NI WAZALENDO, HAO NI WACHUMIA TUMBO KAMA WENGINE TUU. KIUFUPI TANZANIA HATUNA JESHI LA WAZALENDO BAADA YA WALE WALIOPIGANA KAGERA, ILA TUNA WATU WALIOVAA NGUO ZA KIJESHI, WAOGA, WANAOJIFICHA KWENYE VIAPO VYA KISENGE VYA UTII KWA WANASIASA (WEZI).

WANGEKUWA WAZALENDO MPAKA MDA HUU WANGESHAMKATAMATA JK, SAMIA, ROSTAM, NA WEZI WENGINE, WANGESHAKOMESHA MAUAJI YA WATU NA UTEKAJI N.K KWA HIYO HATUNA JESHI LA WAZALENDO TUNA MIJAMAA TUU NA MADEMU IMEVAA SARE ZA KIJESHI. PTUUUUUUUH !!!
 
Kuna umuhimu wa watu kujua tofauti kati ya taifa, nchi na mwisho uhusiano wake na uzalendo.
Ni rahisi sana kutamka na kutenda kinyume.
Hata hivyo, muhimu ni ustawi na umoja wa watanzania wote.
 
Safi sana, umeandika vizuri. Jeshi ilipaswa lijitegemee liwe na jukumu kuu la kulinda nchi kwa maadui wa ndani na nje. Mfano kwenye mambo yanayo endelea Sasa hivi jeshi ilipaswa kuingilia kati kwa faida ya taifa. Sasa ndio kwanza ata hawana habari, wapo wapo tu,hakuna jeshi hapa limeisha vamiwa na wana siasa.
Hatuna jeshi mkuu ni wachumia tumbo tuu wale.
 
Back
Top Bottom