Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

Polepole usimweke kwenye circle ya akina Ben na Mdude, huyo wakati boss wake Magu anaua alikuwa anamtetea.

Yeye afe tu familia yake ndio watambue uchungu wanaopitia familia za akina Ben Saanane
Nahisi ujanielewa ngoja nirudie tena, unajua sababu ya yeye(Polepole) pamoja na hao hakina Ben,Mdude kutekwa?
 
Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo anaweza kuvaa viatu vya Magufuli. Wapi sasa ukweli? Ukweli uko wazi; jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli alipoondoka, wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu, na maskio waliobaki wote walikuwa ni kelele.

Kipindi cha Magufuli kila mtu alijifaya mzalendo, kumbe maigizo. Wakina Kabundi na kundi lake wakajivisha uzalendo feki. Kiko wapi leo wakina Bashiru? Mnashindwa kutoa hata tamko. Kijana wenu Polepole, uzalendo wenu uko wapi?

Mzalendo wa kweli ni Polepole. Watanzania, tuamke leo. Kwa Polepole kesho kwako Mtanzania yoyote anayependa nchi yake, JWTZ waliopo kwenye vyombo vya Usalama, wazalendo tupaze sauti. Wa mrudisheni Polepole akiwa mzima, bila masharti yoyote.
Makonda ndiye aliyetoa password kwa wauaji wa Magufuli ndiyo maana sasa hivi Makondo ni mtu wa ndani sana kwenye kundi la wanamtandao wa CCM.
 
Nahisi ujanielewa ngoja nirudie tena, unajua sababu ya yeye(Polepole) pamoja na hao hakina Ben,Mdude kutekwa?
Nafiriki haujanielewa kwa Polepole ni what goes around comes around. Malipo ni hapa hapa duniani, kama alivyokufa dikteta Magu
 
Dalali amewauza vijana wengi wa CHADEMA anahusika kwa asilimia 💯
Hakuna kitu kama hicho, unataka kusema akina ROMA na Mo walitekwa na Kengeza? Kweli una akili fupi kama kimba la mwisho. Na Polepole utasema ni dalali?
 
Nafiriki haujanielewa kwa Polepole ni what goes around comes around. Malipo ni hapa hapa duniani, kama alivyokufa dikteta Magu
Sawa ila utekaji ni kitu cha kupiga vita sio kufurahia, wakubali kukoselewa, wakimalizana wenyewe wanaamia humu na kutunyakua kama kama kuku.
 
Back
Top Bottom