Jitu la-Mtumba
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 266
- 721
Wote tupinge ukatili unaoendelea. Lakini kusema Pole pole ni mzalendo hapo ni uongo. Mnashindwa tu kukumbuka jinsi alivyokuwa anakera kipindi yupo kwenye system anafanya hesabu zake za kinafiki ku justify CAG hayupo sahihi.
Ccm huwa ni wanafiki sana,wanajifanya wapo upande wa raia wakitupwa nje ya system yao. Mimi siyapendi hata liwe lishajitoa huko,ni yale yale. Mzalendo ni Lissu,mambo ya watu wasiojulikana yalianzia kipindi yupo kwenye system aliwahi kukemea?
Kuna mtu aliwahi kuwaza kuwa huyu naye anaweza kuja kutekwa?
Kile kinachoniwazishaga nakosa majibu ni wale hohehahe wenzetu wanakuwa wanashangilia yanayoendelea wakidhani wanawakomoa wapinga sisiemu, wanamaisha magumu kuliko hata raia wengine