Mimi sipendi k badala ya ok
Niambie myHivi hili neno "niambie" mbona linapendwa sana kutumika hasa na wadada kwenye kuchati, tena kifupi sana...!!?
Unakuta bint anakutext au unamtext sms ya pili yeye kujibu ni neno "niambie"
Sometime neno hilo me nahisi huwa linawakera wengi tu ila wanashindwa kuwafungukia hao wanaowajibu hivyo...
Mbaya zaidi ni kila wakati hata iwe umepiga simu utasikia " niambie"...
Kwangu me ukiwa unalirudia rudia hili neno wala siendelei kuchat!
Naona hata kama kuna mwanaume anapenda kutumia hilo neno mara kwa mara abadilike!
Mapovu ruksa...
Matusi marufuku, mods wapo kazini leo wamekula pilau makinikia!

Wanapenda kulitumia, mie silipendi kuambiwa wala kulitumia. Ukiniambia hivyo nami nakujibu hivyo hivyo.Wanalipendaje, kuambiwa hivyo au kulitaja...
Me silipendi iwe kulitumia au kuambiwa hivyo...
Yani mood yote inakataMtu akinitext niambie yaani huo ndio mwisho wa kuchat nae..!!
Nashindwa kuelewa anataka nimuambie nini!!!
NiambueNiambie
KNiambue
Hebu sema tenaAisee
Hata leo nshalitumia sijui...
NiambieHebu sema tena
Hilo umepata hun...Hali yako kamoyo kako vyote nimekushikia bado password tu hiyo I'd ndiyo nasubiria
Hahahaha kama hvyo sipendi mimiUsiwaze mwanangu tutaacha!