Ya kimahaba kabisa hiyo babyHiyo babu wee ya msuto au ya kimahaba?
That's my babe. [emoji8]Ya kimahaba kabisa hiyo baby
Kuna mmoja nimetoka kuongea nae sasa hivi...karudia hizo niambie kama mara 9 hivi...nmemkatia cm kapiga tena sijapokea!Inapoboa sana ni pale anapokupigia simu yeye halafu anaishia kukuambia " Niambie" mkiongea ongea kidogo anasema tena niambie mi hapo huwa nakata simu au nasema niko bize
[emoji1][emoji1]Nambie
Thread yako inahusu nini
Wajua vile sina hali juu yako babeThat's my babe. [emoji8]
NiambieMbona mie huwa naona wanaume ndio wanalipenda sana hilo neno!!!
Silipendiiii!!!
HahahhahahaHili neno "hofu kwako" linanikera...
[emoji23][emoji23][emoji23]Niambie
Hali yako kamoyo kako vyote nimekushikia bado password tu hiyo I'd ndiyo nasubiriaWajua vile sina hali juu yako babe