Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,196
Na Jingine basi zaidi kukuletea zawadi nzuri leo... kila sherehe yoyote iwe ya waislamu au ya uhuru zawadi tu...Hilo umepata hun...
Sema jingine
Na Jingine basi zaidi kukuletea zawadi nzuri leo... kila sherehe yoyote iwe ya waislamu au ya uhuru zawadi tu...Hilo umepata hun...
Sema jingine
Kabisaaaaaaaaaa Umejuajeeeeeeeeeeeeeeeee?Mimi sipendi k badala ya ok
Unamwambia hicho anachokitafuta, nipe milioni kumi.Hata wanaume wapo aiseee kila Mara "niambie" sasa kila mida niambie mpk utaambiwa usichotaka kusikia. Kwa kweli linakera sana, ht km mtu ulikuwa huna nia ya kuomba ela utajikuta umeshawishika kuomba.
Sikufanya makosa kukukubali kumbeNa Jingine basi zaidi kukuletea zawadi nzuri leo... kila sherehe yoyote iwe ya waislamu au ya uhuru zawadi tu...

nambieHivi hili neno "niambie" mbona linapendwa sana kutumika hasa na wadada kwenye kuchati, tena kifupi sana...!!?
Unakuta bint anakutext au unamtext sms ya pili yeye kujibu ni neno "niambie"
Sometime neno hilo me nahisi huwa linawakera wengi tu ila wanashindwa kuwafungukia hao wanaowajibu hivyo...
Mbaya zaidi ni kila wakati hata iwe umepiga simu utasikia " niambie"...
Kwangu me ukiwa unalirudia rudia hili neno wala siendelei kuchat!
Naona hata kama kuna mwanaume anapenda kutumia hilo neno mara kwa mara abadilike!
Mapovu ruksa...
Matusi marufuku, mods wapo kazini leo wamekula pilau makinikia!
poa mkuuHahahaha kama hvyo sipendi mimi
nikwambie kitu....
Linaloboa ni hili "niambie"jaman mbona kwangu hilo neno la kawaida tu,,mpenzi wangu analipenda sana mara,ila yeye ana akili analinogesha zaidi utaskia,,"niambie my hubby nikupendae!!"daaah hadi raaaaaaaha
Linaloboa ni hili "niambie"
Halafu hakuna mnogesho wala nini...iwe kwenye txt au maongezi
Linaloboa ni hili "niambie"
Halafu hakuna mnogesho wala nini...iwe kwenye txt au maongezi
Silipendi ilo neno na mtu uwa akinitext ivyo uwa nakausha
