ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,383
njoo pm na pajero.Nipe 800,000Tsh
njoo pm na pajero.Nipe 800,000Tsh
Mi nalipenda haswaa nikiwa sitaki kuchati na huyo mtuSilipendi hilo neno yaniee[emoji57]
NambieMi nalipenda haswaa nikiwa sitaki kuchati na huyo mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipe 800,000Tsh
Hahahaa .... Freyzem Mambo mengine?Hivi hili neno "niambie" mbona linapendwa sana kutumika hasa na wadada kwenye kuchati, tena kifupi sana...!!?
Unakuta bint anakutext au unamtext sms ya pili yeye kujibu ni neno "niambie"
Sometime neno hilo me nahisi huwa linawakera wengi tu ila wanashindwa kuwafungukia hao wanaowajibu hivyo...
Mbaya zaidi ni kila wakati hata iwe umepiga simu utasikia " niambie"...
Kwangu me ukiwa unalirudia rudia hili neno wala siendelei kuchat!
Naona hata kama kuna mwanaume anapenda kutumia hilo neno mara kwa mara abadilike!
Mapovu ruksa...
Matusi marufuku, mods wapo kazini leo wamekula pilau makinikia!
Mi sipend mtu aniambie usiwaze,usikonde !!yaani nayachukia hayo maneno ..unamuuloza kitu anakwmbia usiwaze,jamani vijana tuache hya maneno.🙂.
[emoji16][emoji16]nlikumic mkuu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] aseeeh
Mimi pia aisee...ulipotea mno[emoji16][emoji16]nlikumic mkuu
Majukum tu ya hapa na pale.....hop Eid waz super cul 2yhu mkuu[emoji119]Mimi pia aisee...ulipotea mno
Linanikera neno hiloHivi hili neno "niambie" mbona linapendwa sana kutumika hasa na wadada kwenye kuchati, tena kifupi sana...!!?
Unakuta bint anakutext au unamtext sms ya pili yeye kujibu ni neno "niambie"
Sometime neno hilo me nahisi huwa linawakera wengi tu ila wanashindwa kuwafungukia hao wanaowajibu hivyo...
Mbaya zaidi ni kila wakati hata iwe umepiga simu utasikia " niambie"...
Kwangu me ukiwa unalirudia rudia hili neno wala siendelei kuchat!
Naona hata kama kuna mwanaume anapenda kutumia hilo neno mara kwa mara abadilike!
Mapovu ruksa...
Matusi marufuku, mods wapo kazini leo wamekula pilau makinikia!
we mkali aseeHahahahaa
Nambie
oouuh sawa...Eid njemaMajukum tu ya hapa na pale.....hop Eid waz super cul 2yhu mkuu[emoji119]
NiambieHaya ntaacha hahahhh