Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sio vizuri hivyo ujue...
Niambie
JamaniiiiHahahahaha lol! Mungu anakuona ujue kwa kula pilau yako ya sikukuu bila hata ya mwaliko lol! 😛😛😛
Jamaniiii
Mie nilisubiri unialike nikaona kimyaaa, yaani mbaya wewe... Mpaka nimelala kutwa nzima mie...
Karibu saaana BAK tukule kiporo.. Ila ukumbuke bado miezi mitano Christmas ifikeLol! We niambie nizukie baadaye leo kiporo cha pilau ya sikukuu, huwa inaongezeka utamu ikilala lol!
Aaaahwe mkali asee
Karibu saaana BAK tukule kiporo.. Ila ukumbuke bado miezi mitano Christmas ifike
Bila shaka, hata mimi binafsi nikiambiwa hivyo huwa nakereka kiaina, japo siwezi mwambia direct asilitumie...Ngoja niliache maana huwa napenda kulitumia sana labda huwa linamkera mwenzangu sema tuu anashindwa kuniambia.
NIAMBIE nakukataa kuanzia leo hakika sitokutamka tena.
Ndio hivyo yaani ni mazero brain hawawezi kuanzisha ama kuendeleza mada.Kwa mtazamo wangu ni kuwa huyo mtu kaishiwa na issue za kukuuliza. au kukuelezea.. Ni kama anapotezea flani hivi.. Au wengine ni kwa sababu ni mabashite.. Zero brain!
UsijaliHata mwaliko wa Xmas miezi sita kabla bomba tu! Nitatia timu baadaye leo. Tengeneza kachumbari na uweke pilipili mbuzi au kichaa.
Hizo hela vipi?Niambie
Ha ha ha Mimi Niko na manzi ya Kimeru kucha kutwa text za "baby" ni nyingi sanaYaaani silipendi ILO neno na pia silitumiagi kabisaa..... Yaani kuna Demu mmoja mmeru... Hata akikutext yeye text YA pili utasikia ""niambie""" Sasa najiuliza huyu amekaa tu me nimwambie Kwan cna mambo mengine YA kufanyaa.... Na akinitumia atashangaa Nimekaa kimya na cku imepita.... Ila mbadilike.. Kwa kweli
Mwanaume huwezi mtamkia men mwenzako "nimekumic"!!nlikumic mkuu