Mkichat kila wakati "Niambie"

Mkichat kila wakati "Niambie"

Kweli linakera, ila kama ww mtaalam wa kuanzisha convo mbona halikeri
 
Mbona mimi natuma sms kwa rafiki zangu kila siku lazima niandike "Nambie ". Wala hawajawahi kulalama.

Ndukiiiii
 
Mimi huwa nawajibu "nikwambie nini" akinijibu chochote namjaza na voda pesa then niskilizie uwongo wake.
 
Yaaani silipendi ILO neno na pia silitumiagi kabisaa..... Yaani kuna Demu mmoja mmeru... Hata akikutext yeye text YA pili utasikia ""niambie""" Sasa najiuliza huyu amekaa tu me nimwambie Kwan cna mambo mengine YA kufanyaa.... Na akinitumia atashangaa Nimekaa kimya na cku imepita.... Ila mbadilike.. Kwa kweli
 
Hata mimi huwa nakerwa sana. Anakutumia text eti "Nambie" akimaliza hilo anatext tena "Sema" nikiona hivyo tu nakaa kimya
 
Mimi neno hilo sina tatizo nalo ila sipendi mwanamke anayeongea maneno ya kiume yale ya kiuni...inakuwaje wewe...shwari michongo ikoje...nipe gwala

Hutoona msg yangu au simu tena
 
Yaaani silipendi ILO neno na pia silitumiagi kabisaa..... Yaani kuna Demu mmoja mmeru... Hata akikutext yeye text YA pili utasikia ""niambie""" Sasa najiuliza huyu amekaa tu me nimwambie Kwan cna mambo mengine YA kufanyaa.... Na akinitumia atashangaa Nimekaa kimya na cku imepita.... Ila mbadilike.. Kwa kweli
Ni kweli huo msemo yaani unakosesha kabisa hamu ya kuendelea kuchat...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom