Niambie bibie...
Halafu kama kuna ukweli ndani yake kwa hayo uliyosema hasa sentensi ya mwisho...Kwa mtazamo wangu ni kuwa huyo mtu kaishiwa na issue za kukuuliza. au kukuelezea.. Ni kama anapotezea flani hivi.. Au wengine ni kwa sababu ni mabashite.. Zero brain!
Aha aha kifuatacho hapo ni kupigwa ngeu pesa ya vocha''nambie"
au
baby kuna kitu nataka nikwambie kwani utakataa?
Nikisha onaga iyo sentesi Simu yangu huzima ghafulaaa[\b]
Shida siyo kwako wewe mtumiaji...Mm naupenda sana huo msemo mnoo nasioni hata ubaya wake
Niambie lovely DadaMm naupenda sana huo msemo mnoo nasioni hata ubaya wake
Usiwaze mwanangu tutaacha!Mi sipend mtu aniambie usiwaze,usikonde !!yaani nayachukia hayo maneno ..unamuuloza kitu anakwmbia usiwaze,jamani vijana tuache hya maneno.🙂.






itabid tuvumiliane tu jmn hakuna namna
Nambie babu weeNiambie bibie...
Hiyo babu wee ya msuto au ya kimahaba?Nambie babu wee
Ndiyo ulitaka tujibujeShida siyo kwako wewe mtumiaji...
Bali yule unayemtumia txt tena yenye neno moja tu "niambie" hapo ndio unakuta inakuwa kero hivi hasa ikiwa kila mara, ukipigiwa simu mkiongea kidogo unajibu "niambie" sijui hivi unajibu "niambie" ...