iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,008
- 9,408
Asaiv tu ani imeingia namalza kusoma hii uzi imeingia SMS yake ya "Niambie" Aiseeh huwa na mind sana hi....Hivi hili neno "niambie" mbona linapendwa sana kutumika hasa na wadada kwenye kuchati, tena kifupi sana...!!?
Unakuta bint anakutext au unamtext sms ya pili yeye kujibu ni neno "niambie"
Sometime neno hilo me nahisi huwa linawakera wengi tu ila wanashindwa kuwafungukia hao wanaowajibu hivyo...
Mbaya zaidi ni kila wakati hata iwe umepiga simu utasikia " niambie"...
Kwangu me ukiwa unalirudia rudia hili neno wala siendelei kuchat!
Naona hata kama kuna mwanaume anapenda kutumia hilo neno mara kwa mara abadilike!
Mapovu ruksa...
Matusi marufuku, mods wapo kazini leo wamekula pilau makinikia!
Maninaa zake uyu manzi cjui ndo anaanza kutumia sim....