Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Ukijishusha wee inatoshaa, hebu pambania ndoa na familia yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika maisha yangu sipendelei michepuko kabisa ( labda nifikirie ilo suala sasa hivi).
Na ndio maana unapata tabu kwenye ndoa. Bro hizi ndoa bila micheps utachanganyikiwa. Kidume uwe na wanawake watatu maishani mwako. Mke na micheps wawili mbona dunia utaona tamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom