Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,276
- 3,663
usimuache kwa sababu kama hio huo ni upungufu wa kawaida na hauwezi kutoka mbwa ukimjua jina haisumbui heri nusu shari kuliko shari kamili
U see now?! Hiz mtu 2 hiz ni pasua kichwawangu ni mmoja kati ya hao natumia akili kubwa kuishi naye
Mnapenda sana mara ngingi akiwa na nyege ananiambiaga nisipoenda kumla nitakuwa nimemdhulumu.Naloli Kwa bed wanyakyusa tunapenda sana.....Yaan ukuni tunaupenda mnoo
????Kaka umechapia umesema Shula tu badala ya shuka tula. Unatuchanganya sie wapare Shula tu maana yake Jamba tu[emoji23][emoji23]
😂😂😂 huwa nataman sana kufahamiana na mwenye ID hii."Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana."
Piga chini😁
Mwanamke mpenda kutombw hakosi Ute mkuu.....michubuko ni nadra sanaMnapenda sana mara ngingi akiwa na nyege ananiambiaha nisipoenda kumla nitakuwa nimemdhulumu.
Kila weekend ni kumla tu na hanichoshi maana ana ushirikiano kunako 6×6. Napenda sana anajua kupiga bj siku hiz ananipea bila ndom naogopa hatujapima 🤔
🤣🤣 kwa hiyo ukioa mnyaki u-baby dady usiupe nafasi. Ila kweli mana na mimi niliuzidisha huo ubaby dady eeeh! 🤔 kuna siku akaniita mwanamume suruali kisa tu sikumpea pesa aliyokuwa na shida nayoUSHAURI NI HUU
"Be strong like a man". Yan ukioa hawa, hutakiwi a baby dady.. u must remain a father!. 😂😂
Kweli na yule akinipea kavu huwa anahakikisha nimemsugua vya kutosha kule chini mpaka ute ndo utasikia babe ingizaMwanamke mpenda kutombw hakosi Ute mkuu.....michubuko ni nadra sana
Ahahahah.. u see now!??? Hiz mtu ni pasua kichwa ukanda huo wababe wababe kinoma😂😂😂.🤣🤣 kwa hiyo ukioa mnyaki u-baby dady usiupe nafasi. Il kweli mana na mimi niliuzidisha huo ubaby dady eeeh! 🤔 kuna siku akaniita mwanamume suruali kisa tu sikumpea pesa aliyokuwa na shida nayo
Oya To yeye unataka kumpoteza kijana sasaNdo shida tuliyonayo...ubabe! Mkund kakupea?
Hahaa hii kauli ya dharau sana iliniuma sana siku ile.Ila hapo kwenye kuitwa mwanaume suruali nadhan tusingefika pazuri
Sasa hawa wanyaki ndio walivyoo.Sipendi mtu ambae hapendi kukubali kakosea, huwa nachukia mnooo.
Sasa akinuna nawe nuna, upwiru ukija kanunue papuchi.
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.
Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.
Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.
Naombeni ushauri wenu wakuu.