Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Yes hii imekaa poa

After uchumba kila meanamke hugeuka muigizaji kumshawishi chumba wake.

Mchunguze wakati hajui ksma anahunguzwa ili uone rangi yake halisi
yeah man ukiona mauza uza una[emoji1549]
 
"Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana."

Piga chini[emoji16]
Duu[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Huo msalaba ubebe tu,.Mimi nna wa kwangu hapa Kila kukicha unanituhumu natembea na mfanyakaz mwenzangu na ameapa kuja kwa bosi wangu kulisema Hilo...nasubiri siku akija tu natenganisha kichwa na kiwili will..mwehu Sana huyu
 
Kama ni mgumu kujishusha tengeneza ngazi umfate hukohuko ukamteremshe
 
Nimesoma kichwa cha habari tu, Nakuachia ushauri wangu kwanza ndipo niendelee kusoma, We mkuu hapo cha kufanya ili ndoa iendelee kudumu kubali kujifanyaga mjinga tu hivyohivyo maana ukijifanya kukohoa kidogo hapo umeua ndoa.
 
Ulishawahi kuongea nae kuhusu hili linalokutatiza? Embu tafuta siku ambayo mnafuraha au mmeshamaliza kuzagamuana mueleze hilo suala umsikie na yeye. Ila umwambie tu wew hiko kitu hukipendi na kinakuumizaga sana. Kama ni mke anaejali na kukupenda atabadilika. Hamwez kunyimana utamu mwez mzima eti kisa kununiana huo ni upuuzi
 
Hajachelewa,sasa hivi ni wakati muafaka sana,ikiwezekana yeye mume ndio aanzishe ugomvi alafu akaze hata MWAKA tuone kama mke hajakaa sawa.

Yeye si huea anaksza hata akikosea ?basi mume na wewe anzisha ugomvi alafu mkazie,kama inshu ni uchi kapige hata punyrto ili mradi aone kwamba yeye akizingua unaweza ishu fresh bila yeye.

KAmwe usijishushe kea meanamke kwa kosa ambalo sio lako,kamwe kamwe kamwe,

Na kama kosa ni lako hakikisha unajitetea vya kutosha na point za maana mpaka adhinde,asiposhinda unasimamia msimamo,mwanamke unaanzaje kunikosoa mwanaume alafu nikose point za kujitetea ?
Upwiru unaujua unausikia?

Kuliko nyeto mwaka mzima bora atafute mchepuko
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Ukiona hivyo, ujue hajiamini au ana tatizo la malezi na anaweza kusababisha hata kuachana. Cha mno ni kumuelewa na akikosea kula pini wala usionyeshe kumaindi. Kwa vile huenda ni narcissistic anayefurahi akiona unaumia. Watu wa aina hii wengi wao japo si wote hupenda attention na wakiikosa wanaanza kuisaka kwa vitimbwi, ikishindikana wanajisusha lau waendelee. Umia kimoyo moyo kwani ukimuonyesha atakuumiza. Je ni mluguru au mha?
 
 
Haombi msamaha ila analala uchi tu mbona huo msamaha unaomba wewe hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom