Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Pambana na mkeo, msituongezee single maza mtaani ni ving’ang’anizi kwa wapenzi wetu! Km hasikii mtafutie mcheps asikupande kichwani wewe mwanaume [emoji57]
Single mama wanajua kutoa kei ndo maana wanasumbua wapenzi wenu
 
Nipe tenda nije nimshushe mkuu.

Au wewe ni mfupi sana unamuonea wivu mkeo kakuzidi urefu😅😅
 
Kuna watu kuomba msamaha hawawezi ila watafanya jambo kuonyesha wamejutia kosa. Kama mkeo ni wa aina hiyo na sio malaya wala mchawi Relax tulia kwenye ndoa ila kama unaona huwezi achana nae wenye UTI na ghono wapo wengi tu mtaani, nenda wakuchune.

Hajishushi na haoneshi dalili yoyote, yaani yeye anaendelea na ratiba zake tu, asubuhi ataamka na kwenda kazini akiwa ameacha chai dinning table, na jioni anarudi anapika kama kawaida.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muda wote wanatoa bila kinyongo hata km hawapewi huduma, wanakuwa na ugwadu walishazoea kulala bila pichu kwenye ndoa
Kuzaa kunaongeza mashamsham, hasa ukizaa natural, halafu leba ni kuchungulia kifo ukitoka hapo kuna kujiamini flani kunaongezeka kwa mwanamke,
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Kila binadamu ana mapungufu yake. Kama umeshajua kuwa huo ndio upungufu wake, tulia kwenye ndoa yako muendelee na maisha.
 
Hatari ...sii mchezo. Sasa kwani huna mcheps mzee wakupoza nyegeze zako wakati mke kanuna?
Akinunanwee timiza majukumu yako huku ukiendelea kuenjoy na mcheps wako yeye mwenyewe atanyooka

Katika maisha yangu sipendelei michepuko kabisa ( labda nifikirie ilo suala sasa hivi).
 
Kuzaa kunaongeza mashamsham, hasa ukizaa natural, halafu leba ni kuchungulia kifo ukitoka hapo kuna kujiamini flani kunaongezeka kwa mwanamke,

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasema eti kunakuwa na muwasho unaongezeka, huwaambii kitu kwenye mizagamuo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom