Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,668
Acha utamu mpk kisogoni😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasema eti kunakuwa na muwasho unaongezeka, huwaambii kitu kwenye mizagamuo
Acha utamu mpk kisogoni😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasema eti kunakuwa na muwasho unaongezeka, huwaambii kitu kwenye mizagamuo
1. Chukulia kwamba huo ni ugonjwa wake.
2. Kama hauna mazara sana na ni kiburi cha uanaume, we shula tu.
3. Mwenye akili ndo anaitunza ndoa, kwa hiyo itunze.
Angalizo:
Kama kweli kuna jambo la muhimu sana kakosea, halafu hataki kukubali, Nakushauri kaza mpaka mwisho, atashuka tu.
Kuna kitu kinaitwa break point, yakwako ipo karibu, iongeze tu izidi yake, ikishazidi atashuka tu, akikuwoma hiyo tabia atakutesa sana.
Acha utamu mpk kisogoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Una uhakika hana mche-puko anayempa jeuri huko nje?
Kioa Mara mnapogombana, uwe unamwambis hii kauli " Wee Hauna shukrani "
Ukimuacha unambie mkuu, muache tumuoeMimi pia nafikiria ivo mkuu, nimechoka
Kwa kuwa umemjua vema,,,, ni rahisi kuishi nae, hakuna best zaidi yake huko outside, unajidanganya kuvunja ndoa eti kwasababu mke hajui kujishusha, kuna misingi uliikosea mwanzoni ndo imemjengea mazoea [emoji56]
Kwa kuwa umemjua vema,,,, ni rahisi kuishi nae, hakuna best zaidi yake huko outside, unajidanganya kuvunja ndoa eti kwasababu mke hajui kujishusha, kuna misingi uliikosea mwanzoni ndo imemjengea mazoea [emoji56]
Huyo mwanamke ndo tabia yake. Na lzm atakua karithi, hawezi kubadilika. Sikushauri uvunje ndoa nakushauri vumilia endelea kujishusha na pia punguza ugomvi ili usiumie unapojishusha. Huyo hawezi kujishusha kamwe.
mazara ❌️mazara
Mkuu 96% kote kupo ivo....hawasemi tu.Pambana nae tu ukishindwa mzabe vibao iwe tiketi ya kuondokea.Maana wanawake wengi wamecheka na ndoa zao wanasubiri tiketi ya vibao tu wasepe.[emoji855]
Na sisitiza zingatia hili hasa pale kwenye kutafta pesa kumzidi yeyeHakikisha unakuwa na pesa zaidi yake.
Hakikisha unakuwa na sidechick kubalance maumivu.
Usivunje ndoa.
Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana."
Piga chini[emoji16]
Wengi Huwa hatuna elimu ya kuoa thus tunaoa wanawake ambao Sio wetuUmeao mke ambaye siyo wako