Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Sio kweli,mke wangu ni mnyakyusa nadiliki kusema kuwa yuko very much submissive, mimi ndo mbishi sana na mtata sana na anajiua hivyo,tuko zaidi ya miaka kumi haja wahi nijibu wala kunirudishia neno mbaya.
Ofcz kwenye production yoyote reject hazikosekani.Yan huyo ni very rare cases..Very rare 2/200
 
Usichukue khanga, futia na nywele zake pumbavu kwanini alikubali kuolewa km hataki kutoa k [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Utakufa miguu umenyoosha juu wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajishushi na haoneshi dalili yoyote, yaani yeye anaendelea na ratiba zake tu, asubuhi ataamka na kwenda kazini akiwa ameacha chai dinning table, na jioni anarudi anapika kama kawaida.
Ukimtekenya anacheka? Embu jaribu kumtekenya akiwa kanuna.
 
Nyokoooo wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Moto unawaka alafu unakata pumzi, moja kwa moja naibukia Eden [emoji2222][emoji2222][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila ego ya mwanamke kwenye mahusiano haifai na mwanaume ukijishusha tu ndo tiketi ya mwanamke kukupanda kichwani mpaka ukome,
Tatizo ni kuwa Wanawake wengi hawatambui sehemu yaonkama wanawake bali wengi wao wanatamani nafasi ya mme, hivyo wanashindwa endana.
Kila mtu akibaki na kutambua nafasi yake huwezi ona fujo
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Huna ndoa hapo. Mwanamke asiyejua kubwa upo juu yake wewe ndio kiongozi atakuua kwa mawazo. Utakuwa unamnyenyekea sana. Kosa. Alafu hiyo pia ni dalili ya dharau, atakutesa na ni mwepesi kuchepuka akishakuwa na kiburi na dharau, kama bado hajachepuka lakini.
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
MKUU

Pole

Ameshiba huyo!!wapo wengi sana hata pande hizi!!

Yaani anataka awe yeye NDIO kiongozi yaani WEWE uwe unanyenyekea kwake!

Mara nyingi kutotoa NDIO silaha yao ilu umuombe kazi na ujishushe kwake!!

Huu upumbavu nimemuona pande HIZI NDIO MAANA nishaanza tafuta kiwanja kipya NIKAISHI kama boy tu man!! Huyo keshaona future hakuhitaji TENA!!

Pesa sio kipimo cha UPENDO,kama inapatikana ya kula na MAHALI pa KUISHI inatosha! SIO kupangiana hata watu wakija ETI hukunishirikisha na vituko kibao!

MWISHO wa siku unaambiwa hujaoa,mashemeji wajinga watakushauri ETI kaeni mlee watoto!wamesahau hao WATOTO wakikua watasema "HAKUNA KAMA MAMA""

Kadiri mwanamme mwenye familia anavozeeka ndivyo anavozidi kua masikini coz anapoteza nguvu na ushawishi wakati mama anazidi kua top!!

Nenda kapange geto ununue MALAYA tu man!coz watoto tayari unao utakua unatumia matumizi tu!!

Hata ukioa mwingine akifikia ustawi na kilele shit zitaanza HALAFU no where to run!!!

Naacha kuandika hasira kali man!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom