Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,683
Sijui kiukweli maana mie kuolewa kwangu ni ile nimeliwa ndo kuolewa hivyo sijui tofauti ya kabla na baadaHivi kwanini mkiolewa mnabania sana K, wakati kabla ya kuolewa mnatoa muda wowote?
Sijui kiukweli maana mie kuolewa kwangu ni ile nimeliwa ndo kuolewa hivyo sijui tofauti ya kabla na baadaHivi kwanini mkiolewa mnabania sana K, wakati kabla ya kuolewa mnatoa muda wowote?
Ila wewe nayeSijui kiukweli maana mie kuolewa kwangu ni ile nimeliwa ndo kuolewa hivyo sijui tofauti ya kabla na baada
Huo ndo ukweli,Ila wewe naye
Mkuu ilo sio tatizo ingawa sijaoa ila wanawake wote wanafanana akil..wanapenda kubembelezwa haooo[emoji1787][emoji1787]Kuna kipind nilikua na mtu anaeza ananitafutia makosa yang kila cku ili tuh nimuombe msamaha bhc kanapenda nnavokabembeleza mpka kakakir kua nikiomba sorry haezi sema no
Nikapata bichwa ya kumcheat bila nikitegemea vinjia njia vyangu vya kuomba msamaha ila dah [emoji3064] am single [emoji442][emoji445]uuuuuw [emoji445]am single again [emoji445][emoji444][emoji444][emoji444]yao yao
mazara ❌️
madhara ✅️
Kwa mara nyingine tena wachaga tunachafuliwa hadharani.Kama sio mnyakyusa huyo ni mchaga.
Wanawake wa kinyakyusa ni watata sana
Fala wewe, hiki kiswahili chako fasaha kimekusaidia nini moaka leo unaishi kwa shemeji yako?
Hao wahuni walishakata moto.Kataa ndoa wakiiona hii tumekwisha
Mkuu unaweza kujishusha (ignore) wewe wakati mkitibuana ili maisha yaendelee, ila ukaendelea kumwelewesha mkiwa in good terms.kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.
Oooo Yes, I’m single [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukute huyo mwanamke akinuna anakua na sura kama mwanaume ndio kinachomtisha jamaa kulala na hio sura [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umevumilia miaka yote 8 mpaka mna watoto 3, mie nakushauri kwa faida ya watoto wako endelea kuvumilia. Ndoa inapovunjika watoto ndio huathirika zaidi. Usiangalie faida yako tu angalia zaidi upande wa watoto.Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.
Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.
Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Hapo ndipo unakosea. Nadhani mwanaume wa shoka ndiye anatakiwa kujishusha ila akishajishusha anapanda na kung'ang'ania juu. Ndiyo maana ya kuishi nao kwa akili. Usipende kushindana na wanawake. Huwa hawajui watendalo na mwisho wa siku huwa wanajuta kimoyo moyo. Leo mwanamke anaweza kukueleza usijenge tuenjoy maisha. Kesho akaanza kusifia mume wa rafiki yake ambaye amemalizia kibanda chake Buza. Unataka saa ingine kuwaignore. Unadharau tuWakuu nawasalimu kwa jina la muungano.
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.
Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.
Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Wewe unadhani nini faida ya michepuko katika ndoa? Michepuko ni Shock - absorbers! Lazima mwanaume awaheshimu Michepuko kwa ustawi wa ndoa yake. Watu kama Mr shika wanakuwa waogaUmevumilia miaka yote 8 mpaka mna watoto 3, mie nakushauri kwa faida ya watoto wako endelea kuvumilia. Ndoa inapovunjika watoto ndio huathirika zaidi. Usiangalie faida yako tu angalia zaidi upande wa watoto.
Mimi pia nina changamoto hiyo hiyo na nina watoto watatu pia na niko naye mwaka wa 10. Kwa faida ya watoto sitamuacha. Japo ni kinyume na maadili ya jamii na imani, ni bora kujipoza nje kuliko kuvunja ndoa yako.
Unakuta baba ni mzee,amekaa kwenye ndoa hadi ana wajukuu,chakushangaza eti naye ananuna! Si mkae muongee muwekane sawa mambo yaishe? Eti mtu ni boss huko ofisini kwake anatoka nyumbani eti kamnunia mkewe.Wanandoa kununiana ni tabia ya kitoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moto unawaka alafu unakata pumzi, moja kwa moja naibukia Eden [emoji2222][emoji2222][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]