Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Pole sana mkuu, kwa kweli mwanamke ambaye hajishushi huwa ni changamoto sanaaa!!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mtu akinikosea na kusema samahani kuna burudani saana moyoni mwangu.
Ila akiuchuna nakereka mnoo nafsini mwangu, sipati burudani ya moyo, hata nikiamua kuvunga, navunga kiume tu ila moyoni ile inakuwa haijatoka.

Wakati nacheza mpira, ikitokea mtu kanichezea rafu, akaniambia tu sorry.. baasi hapo kaniweza, ila kauchubua nammaindi kinooma.
 
Red flags zote uliziona wakati wa uchumba ila uliamini utambadilisha/atabadilika ukishamuoa. Pambana tu mkuu
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
anamwanaume mwengine wewe ndio umekuwa mshika dau tuu
 
Ni rahisi sana kuvumiliana kwenye Ndoa, But iwe rahisi pia kuachana kwa maana mbeleni itakugharimu maisha...itaondoa uhai wako. Nakupa kisa cha Dereva mmoja na mkewe, DEREVA JUMA ALIKUWA MLEVI siyo wa kupindukia ila wa kawaida mkewe alikuwa ataki tabia ya mmewe wameishi miaka 8, katika ndoa mke alikuwa akiamua kukaa kimya kwa lengo la kudhibiti tabia ya mmewe alikuwa anaweza kukaa hadi miezi miwili, mara nyigine anaondoka na kwenda kusiko julikana, Majuzi mke kamchoma visu vinne mmewe, kaa chonjo ukiona hamna maelewano na umefanya jitihada tafuta namna muachane kwa amani.
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili mliokubaliana katika hali zote na pia kubeba mapungufu ya mwenzako kama nguvu yako. Mkuu kama mkeo hana tabia nyingine mbaya zaidi ya hiyo ya kujishusha chukulia ni kama " weakness" yake na sio kiburi halafu ifanye kuwa " strength" yako nikimaanisha usiwe unaacha mkae mpaka miezi miwili bila kuongea.
Bali uwe unatengeneza mazingira ya yeye kuona amekosea na katika mazingira hayo mnayasolve. Kamwe usivunje ndoa yako na hao wanaokwambia tafuta mchepuko au oa mke wa pili haitasaidia lolote.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Eti UPWIRU😁😁,watu mna maneno jamani...
 
Mzee tuko wengi wa case hii, ila tulijuana mapema kabla na kujua namna ya kuchukuliana!

Ndio maana wakristo wana neno husema “huo ni msalaba wako”!
 
Pambana na mkeo, msituongezee single maza mtaani ni ving’ang’anizi kwa wapenzi wetu! Km hasikii mtafutie mcheps asikupande kichwani wewe mwanaume [emoji57]
 
Oa mke wa pili unayempenda usimuache mkeo yeye ndio aombe talaka tena kabla ya kuoa na yeye ajue hivyo simamia msimamo wako mpaka arudi kwenye terms zako ndio uahirishe kuoa vinginevyo oa

Hii kama imekaa vizuri, ingawa sikuwahi kuwa na mpango wa kua na mke zaidi ya mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom