Sasa kama hivyo tunawasomesha wa nini? Acheni zenu bwana suluhisho ni simple tuu, mwanaume aoe wanawake wengi. Yule anayetaka kwenda kupiga kazi mbali akapige tuu hawa wengine watamsaidiaBanafsi naungamkono wanawake wapewe matunzo ya kutosha waache kuhangaika na kusaka kipato, watulie watunzwe