Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Nami wangu ana kichanga na juzi kapata kazi Mwanza
 
Muache aende mzigoni; kama una hofu tafuta ndugu yako aende naye awe anamsaidia kazi
 
Aende tu afanye kazi maana kama mke kakaa miaka 5 bila kazi na hajamfungulia biashara basi ujue hyo biashara haitafunguluwa, kama mwanamke ni mwaminifu no matter what hatatoka kwenye reli atakuwa faithful kwa mwenzake. Aende akafanye kazi mambo ya namtimizia kila kitu kumbe ni chakula tu unampa na malazi hapana
Hakuna hiyo kitu,uaminifu mtu yupo Kagera? Nani aliekwambia long distance kuna mapenzi? You guys mnajifariji na vitu vya kijinga sana,endelea kusema uaminifu .
 
Kazi kitu gani bwana,...mwache akae om apikie familiar misosi...

Kama akienda nakupa mwaka mmoja tu ndoa yenu inaanza kuyumba.
 
Meeen, I like this…

Ni kwamba mpaka naleta huu uzi, tuliongea akasema kama naweza kumruhusu aende kufanya kazi au la, so anasubiri uamzi kutoka kwangu, ndio nilikuwa naangalia possibilities hapa, ndoa haijafika miaka hiyo miaka 10. Nikalileta huku nikiamini kuna watu wanaweza kuwa na experience na hivo vitu.
Mapenzi ya mbali ni majanga tena kama mtu huyo ni mwanamke,,,,,kama unampenda mkeo mfungulie biashara hapa hapa mkuu,mtu ukiwa karibu nae hata kama ana makando kando ni atajiheshimu kuliko akiwa mbali,,,,Ila kama Una hamu ya kuandika Uzi mwingine baada ya mwezi mmoja au miwili basi nipo paleeeee nasubiri nije kuusoma!
 
Je ingekua ni wewe umepata kazi nje ya nchi na huwezi kusafirisha familia ungefanyeje??kuna madereva wa malori kwenye nyumba zao ni adimu lakini wake zao wameishi fresh na watoto.

Tusichojua ndoa ya kila mtu ina uniqueness. Ndoa hazifanani. Wewe kama unamjua mkeo kama mwanamke bora maana miaka 5 ushamjua pima...kama itafaa abaki basi wekeza investment ya kumfanya aingize nusu ya mshahara ambao angeupata kagera.

Watu weng hatujui kuwa upendo ndo unatakiwa uwe kipimo cha maamuzi. Kama mnapendana kaeni mweigh options. Communication muhimu sana. Kaeni kama wanandoa wewe mueleze doubts and questions na yeye umsikilize what she has to say. Panahitaji hekima sana baina yenu. Ushashauriwa huku na wadau sasa mada iwekwe mezani muongee muelewane. Ikawe kheri katika maamuz mtakayofanya.
 
Nakusikitikia mkuu ndoa yako naiona inaelekea kwenye kina kirefu cha bahari muda wowote itazama na wakuwaokoa wapo mbali nchi kavu, jiandae kuogelea hadi kisiwani ila utafika umechoka sana. Pia unaweza usifike salama unaweza jeruhiwa na papa na kupotea kabisa kwa kufia baharini,hakika hutapata msaada maana dolphin watakuwa busy kuogelea na kucheza kwa kufurahia utulivu wa maji ya bahari."JIANDAE KISAIKOLOJIA UNAENDA KUTANA NA MZIGO WA MISUMARI AMBAO UTAUBEBA KICHWANI".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea Uzi wangu
"Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti"
Ukitaka kuthibitisha hili wewe kaa miezi 6 tu. Utanipa jibu.
Wewe mwenyewe ndiye utaanza kugonga nje na yeye huko atagongwa nje then.
Then hatari zaidi ni kwamba amepata kazi ambayo ataweza kujisimamia.
All in all hapo hakuna ndoa.
Chukua screen shot hii post.
Mkuu umemaliza kila kitu ila mimi napunguza hiyo miezi fanya mitatu majibu atayapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
hapo bwana kaka nafikiri wewe ndo unamjua mkeo vizuri. unaelewa uvumilivu wake na nidhamu yake kwako. tumia hyo fursa kuamua bro.

#Ila kama ukionesha doubt kuhusu yeye kwenda, yan ikionekana ataenda kupigwa, basi akilijua hilo atafanya hvyo hvyo coz anajua hata asipo fanya bado utasema tu kapigwa.

#tena ukimzuia asiende kwasababu ya hyo hofu, basi amini nakwambia wataanza kumpigia hapo hapo kwako. tena atapigwa mpaka umuonee huruma. hivyo nakushauri tuliza akili, kaa naye muongee kifamilia, msikilize kwanza yeye vile anataka kisha na ww muunge mkono huku ukiweka tahadhari kiakili sana.
 
Bukoba kama Bukoba...

Akaribie katika mji huu wenye mandhari tamu Tz nzima
Screenshot_20220915-184230.jpg
Screenshot_20220915-184242.jpg
Screenshot_20220915-184246.jpg
Screenshot_20220915-184454.jpg
Screenshot_20220915-184458.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Kwa Nini yupo desperate kupata ajira?
Je kipato chako hakitoshi kumpa maisha kama mke?
Je ulikuwa unamnyanyasa kwa yeye kutokuwa na kipato?
Yeye anafikiria Nini kuhusu kuishi mbali na Mme wake na haoni hatari ya kuvunjika ndoa?
Wewe unafikiria nini
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.

Mimi hata sijui hata niseme nini, wanaume tumeumbwa kuteseka tu:

1. Kakaa miaka 4 bila Kazi, Hii Kazi ni muhimu sana kwake.
2. Kuna tabia mbaya sana kwa watu makazini kutongoza wafanya kazi wapya.
3. Ni ngumu sana yeye kukana au kukataa masharti kwa sababu Hii ni Kazi muhimu sana kwake!

Angalizo:

1. Kama kwa miaka 5 yote wakati hana Kazi ulikuwa umhudumii yeye na kuangalia wazazi wake, utaisoma namba.

2. Mkoa wenyewe wa Kagera! Wewe unakaa wapi? Utakuwa wamtembelea mara ngapi?

3. Mna watoto? Anaenda nao au vipi? Wewe umeenda muandalia mahali pazuri na Usalama pa kukaa?

Hitimisho:

Ngumu sana mwanamke aliyekaa bila Kazi kwa Milka mi 5 bila Kazi kukwepa kuliwa, it is possible Ila Naipa 5% possibility.

Cha kufanya:

Buy her a gift of a nice phone, and track her, no way out, bila yeye kujua!

Wanaume tumeumbwa kuteseka!
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.

Kagera na Dar? Weka msimamo wa Hapana! No, Hapana, bora ndoa ikate!

Nili comment bila kusoma, Maana hata sikupenda kusoma!

Utakuja kujuta, endelea kuingia gharama za kumhudumia na ndo yenye Amani!

Mwanamke hata aajiriwe kama mwanajeshi wa kuongoza Russia Ukraine, hela yake hutaona, utaona dharau ya hela zake!

Hutanisikia kijana, ila utakuja kujuta huko mbele, hamjawa na bond kwa mtoto mmoja kwa mke kuelewa umuhimu wa ndoa na uaminifu.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya uhuru wa kuchepuka mwanaume na kuchepuka kwa mwanamke..

Mwanamme anaweza akawa anachepuka saana nje lakini HESHIMA kwa familia yake na mkewe ikawa PALE PALE.Yaani anaweza akawa daily anachepuka,akimaliza tu kukojoa akili inamjia hapo hapo.

Mwanamke,tena akiwa huru mbali na mumewe,akianza kupigwa,HUWA ANAMILIKISHA MWILI NA AKILI YOOTE,so taratibu anaanza dharau kwa mumewe.Wengi wao hawawezi ku manage emotions,tofauti kbsa na wanaume.

Besides,hiyo hela anayoifuata Bukoba itakua na msaada mdogo sana kwa familia yako.Zaidi zaid atasema anasaidia familia yake,na SIO ada kwa watoto wenu wala chakula,ambavyo utaendelea kutoa wewe,ipo hivyo,ndo wanawake walivyo.

Mbaya zaidi hata kodi yake kule bukoba utalipa ww,na hela ya kula pia utamtumia.
 
Achana na mkeo kupiga kazi huko wewe utaishije? Utapata mahitaji yako wapi na kwa mda gani? Je akishazoea maisha ya kujiamulia kila kitu siku utakayotaka arudi chini ya amri yako ataweza? Mwisho wa huo uhuru wa kujitafutia ni nin?
Na hi ndo hofu ya wengi! Nashauri anaetaka kuoa aoe standard seven maana hawa wasomi mkiwaoa mnataka vile vyeti vyao na hustles zao wazibwage chini
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Ukubali yafuatayo

1. Utatombewa
2. Utatombewa sana
3. Kaa tayari kwa dhihaka na fedhea
4. Heshima lazima ishuke (usinibabaishe nyingi)
5. Kubambikiwa watoto

All in all kupanga ni kuchagua kazi ni kwako. Kama wewe ni mwanaume wa kileo unapenda "kusaidiana" maisha na mwanamke haya kua tayari kwa mambo matano tajwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom