Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

Yaani mie ni mke wa mtu alafu nina ukaribu na mwanaume mwingine hadi anipe zawadi ya nguo za ndani!!

Eti mume wangu nae huyoo kwenye mitandao ya kijamii kutafuta ushauri baada ya kujiridhisha kuwa nimenunuliwa nguo za ndani na mwanaume mwingine.

Akili zingine inahitaji uvute bangi ndio uzielewe.
[emoji126][emoji160]
 
Wakuu Habarini
Natumai mko poa na zaidi mkiendelea kufuatilia vita dhidi ya dawa za kulevya.

Kwangu mimi nakuja na hili ambalo mpaka sasa silielewi limekaa kaaje, na hili ni baada ya kudukua mawasiliano ya mke wangu na kukuta jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie..

Baada ya siku mbili tatu nikaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudukua mawasiliano yake tena. Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha.

Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na mume / mpenzi wake..!

Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kuwa na vigezo vya kuendelea kuwa mke. La mwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokuwa anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nn.. ?

Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!
Sasa issue ya kwamba jamaa anamaanisha nini kumnunulia hivyo vitu itabidi umtafute jamaa ili umuulize kwa ukaribu
 
kwa nn umekimbilia kuona kama hamjali ndo maana kanunuliwa chupi nje¿inaonekana na ww ni mwanamke mzinzi ndo maana unatetea uzinzi wa mzinzi mwenzako ungekua mke wangu ningekata hiyo kichwa
Nisikilize weweee! Wacha kufoka foka.

Alikuwa hamjali ndio maana akatafuta ambapo anaweza kununuliwa. Unadhani angemnunulia angehangaika huyoo.

Muda mwingine uache utabiri.
 
Wakuu Habarini
Natumai mko poa na zaidi mkiendelea kufuatilia vita dhidi ya dawa za kulevya.

Kwangu mimi nakuja na hili ambalo mpaka sasa silielewi limekaa kaaje, na hili ni baada ya kudukua mawasiliano ya mke wangu na kukuta jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie..

Baada ya siku mbili tatu nikaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudukua mawasiliano yake tena. Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha.

Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na mume / mpenzi wake..!

Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kuwa na vigezo vya kuendelea kuwa mke. La mwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokuwa anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nn.. ?

Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!
Mwambie ma wewe akununulie boksa
 
Aiseee
14359523_298949817164086_1181819557_n.jpg
 
Nisikilize weweee! Wacha kufoka foka.

Alikuwa hamjali ndio maana akatafuta ambapo anaweza kununuliwa. Unadhani angemnunulia angehangaika huyoo.

Muda mwingine uache utabiri.
Ni vigumu sana kutetea hoja dhaifu.. ukahaba ni ukahaba tu.. Ata angepewa nn.. we unanunuliwaga na mpenzi wako..?
 
Ukweli ni kuwa ukiona kuku wako kapotea na ukakuta manyoya yamezagaa basi ujue ni dhahiri huyo kuku atakuwa ameliwa. Cha msingi, andaa mtego uwe na vigezo uachane na huyo mbwa.
 
vipi lakini mkuu, ukimcheki wakati akizivaa huwa zinamtosha fresh?

kama zinamuenea ina maana jamaa anakijua kiuno cha mkeo vizuri sana.
 
Aisee chukua hatua mkuu. Jamaa keshachonga barabara mambo yamekaa mubashara.

By the way vipi majibu ya wife alikubali kama zimemtosha manaake naona hicho kipengele umekiruka (samahani lakini).

Act like a gentleman kaa chini na wife then uyajenge kiutu uzima usikurupuke lakini na hasira zako kutoka hapa jukwaani so just let her know she's acting in a very wrong way & ongea nae in a very friendly way.
Remember that alwayz once a mistake But twice a mistake no more.
 
Hivi Wenzetu mbona Mna bahati namna hii?

Una Akili timamu kweli?

Na hali ngumu hivi ya maisha mkeo ananunuliwa chupi 4 na brazia 2 na Mwanaume mwingine halafu badala ufurahi wewe ni kama unalalamika vile.

Mkulu mwenyewe na ubabe wake wote anaenda kuwaomba Wanaume wengine tena wa Uturuki na morocco misaada kwa ajili ya watu karibu mil. 50

Wewe umesaidiwa chupi 4 kwa ajili ya mtu mmoja tu unachukia? [emoji23]
Hahahhh
 
kama ww haumnunulii acha wenzio wakusaidie
 
Back
Top Bottom