Ndera
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 653
- 548
Ukiona manyoya ...!
ameliwa. japo hako ka msemo kanauma sana.
Ukiona manyoya ...!
Wakuu Habarini
Natumai mko poa na zaidi mkiendelea kufuatilia vita dhidi ya dawa za kulevya.
Kwangu mimi na kuja na hili ambalo mpaka sasa silielewi limekaa kaaje, na hili ni baada yakudakua mawasiliano ya mke wangu na kukuta Jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo wataftane ampatie..
Baada ya siku mbili tatu nakaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudakua mawasiliano yake tena.
Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha.
Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na mume / mpenzi wake..!
Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kua na vigezo vya kuendelea kua mke.
Lamwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokua anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nn.. ?
Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!
Hiyo unafikiri huyu anaweza kua sahihi kwake..?Huenda ikawa wewe ni mmoja kati ya wale wanaume wasiojali mke anahitaji nini na ukamtimizia ndio mana katafuta wa kumnunulia.
Nadhani kwa mawazo yako unajua mke anaridhishwa kwa ngono pekee kumbe hata chupi ya kuvaa ana.
Ni ngumu sana kwa wanaume wengi yaaan udukue mawasiano uuone mzigo ukapiga kimya suamini kabisa.Wakuu Habarini
Natumai mko poa na zaidi mkiendelea kufuatilia vita dhidi ya dawa za kulevya.
Kwangu mimi na kuja na hili ambalo mpaka sasa silielewi limekaa kaaje, na hili ni baada yakudakua mawasiliano ya mke wangu na kukuta Jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo wataftane ampatie..
Baada ya siku mbili tatu nakaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudakua mawasiliano yake tena.
Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha.
Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na mume / mpenzi wake..!
Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kua na vigezo vya kuendelea kua mke.
Lamwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokua anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nn.. ?
Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!
Mkuu umeongea point sana.. Asante mkuu kwa mawazo yako.Kiongozi umeuliza maswali mazito na ya msingi, kwa kuanzia, kinadharia hakuna mipaka ya zawadi ila baaada ya zawadi kutolewa hapo ndipo shida inapoanza. Mathalani mke wako angepewa zawadi ya jeneza, vibrator au bunduki pia usingeacha kujiuliza maswali kama hayo. Cha msingi nikujua ni namna gani mke wako anavyochukulia mambo, wapo wanawake waliolelewa kimagharibi ambao hawana aibu na hawana mila anaweza kuletewa chupi siyo tu na rafiki yake bali ata na baba, kaka au baba mkwe wake. Ila ikiwa huyo mke wako amelelewa kiasili basi unayo haki ya kuhoji na kumtaka atoe maelezo kwanini kwa kuletewa chupi na huyo toyfriend wake usimuache? ila kaka kazi unayo, kimjini mjini lazima utakua unachapiwa.
Mkuu ni mambo ambayo yapo.. hivyo unapaswa kujiaanda kiasaikologia unavyoishi na mwenzako.!Ni ngumu sana kwa wanaume wengi yaaan udukue mawasiano uuone mzigo ukapiga kimya suamini kabisa.
Ila kama ni kweli mkuu isimpige wala kumtukana we tafuta ushahidi vzr harafu we mpe waoane kwa halali ya moyo wako