Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Mkuu unategemea akuambie ni kweli ka nunuliwa.. me niko na ushaidi wa kutosha coz mawasiliano niliyoyapata na ninayo niyasauti.!
Huyo mkeo anafanya kazi ofisi moja na huyo mwanaume au ofisi jirani kiasi kwamba huwa wanaonana wakati wa lunch?