Hii huwa ina maana gani?

Hii huwa ina maana gani?

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
12,656
Reaction score
21,458
Alikua akilia tu "jamani daddy" machozi yake anajifutia na noti nyekundu za kutosha, machozi yote yanafutika na yeye anapotea mpaka zikiisha anarudi tena kuzifuata na kujilizaliza.

Kuna swali hua najiuliza;

Mwanamke kuchukua video za nguo za ndani (chupi zake) zote anazozivaa na kumtumia mwanaume azione zilivyo, hua inamaanisha nini?

Niishie hapo.
Majibu yawe mafupi mafupi kidogo.
 
IMG-20260920-WA0412.jpg
 
Ukilewa weka simu mbali
 
Back
Top Bottom